“Tunaamua tuseme ukweli.” Hii kauli ya Ummy Mwalimu inafikirisha sana

“Tunaamua tuseme ukweli.” Hii kauli ya Ummy Mwalimu inafikirisha sana

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
9,552
Reaction score
24,166
“Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa lakini tunaamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania lazima waelewe kwamba changamoto hii ipo na kila mtu sasa kwa nafasi yake, kama kulikuwa na mtu anadhani tunatania ni wakati wa kuchukua hatua”- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

Kwahiyo sasa ndio mmeamua kusema ukweli..?!
 
Nikweli maana wasipo sema ukweli bifo vitawaumbua na pia mkono wa sheria ndio maana china kabadilisha data ghafla anajuwa what next. Note unapoficha taarifa nyeti kama hizi dunia inakuadhibu. China ajiandae kisaikolojia kulipa Trilion of Usd... Keep cool
 
“Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa sana lakini tumeamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania sasa lazima waelewe kuwa tunakabiliwa na changamoto kubwa”
Waziri wa Afya @umwalimu
Chanzo: BBC Swahili.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
 
Sijajua wanapata Shida wapi kufanya Maamuzi magumu
.
Wameshindwa kupiga Lock down hii Miji mikubwa ?? Sawa Hakuna Shida Wacha tusambaze nchi nzima

ila Leo Jf Mumefuta Nyuzi Nyinhi Sana hata wenyewe Naona mumeliona hilo
Kila nyuzi nayoreply mnapita nayo [emoji18][emoji18]
 
Back
Top Bottom