Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,042
Hiyo miji mikubwa inapata chakula toka miji nidogo. Wajifungie waone watakula Nini.Sijajua wanapata Shida wapi kufanya Maamuzi magumu
.
Wameshindwa kupiga Lock down hii Miji mikubwa ?? Sawa Hakuna Shida Wacha tusambaze nchi nzima
ila Leo Jf Mumefuta Nyuzi Nyinhi Sana hata wenyewe Naona mumeliona hilo
Kila nyuzi nayoreply mnapita nayo [emoji18][emoji18]
Dar kila kitu kinaletwa ,. Mahindi. Mchele,. Maharage ,. Ng'ombe , mbuzi,. Kila kitu kinaletwa. Hebu wajifungie waone.
Sent using Jamii Forums mobile app