“Tunaamua tuseme ukweli.” Hii kauli ya Ummy Mwalimu inafikirisha sana

“Tunaamua tuseme ukweli.” Hii kauli ya Ummy Mwalimu inafikirisha sana

Wachana na yote yaliyoongelewa hapo "Mi shingo ya waziri Ummy inaniuwa" Hizi ndio zile zinazoitwa shingo ya upanga, walizokuwa wakiziimba kina Marijani Rajabu. [emoji2817][emoji2817]

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
Sure asee yani mi mwenyewe nikionaga shingo ya Ummy ilivyo laini na vipingili ubo.oo unadinda
 
“Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa lakini tunaamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania lazima waelewe kwamba changamoto hii ipo na kila mtu sasa kwa nafasi yake, kama kulikuwa na mtu anadhani tunatania ni wakati wa kuchukua hatua”- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

Kwahiyo sasa ndio mmeamua kusema ukweli..?!

Kauli haina tatizo lolote. Shida ipo kwa wewe mpokeaji. Receiver yako Ina COVID-SIASA ZA KIJINGA.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
...ndio maana niliposikia ushauri wa waziri wa mambo ya ndani alietumbuliwa akisema wafiche idadi ya wagonjwa nikasikitika sana Kama msomi mwenye PhD anawaza namna iyo hivi atakuwa alifanya madudu kiasi gani alipokabiziwa ofisi kubwa ya umma.....naanza kuamini tumbua tumbua ya jpm huwa iko sahihi
PHD za kibwege
Kichwani weupe kama karatasi
 
Kilaza anawaambia muombe hahaha tumerudi miaka ya 1960 kweli. Tanzania tulichokifanya hata dunia inatucheka. Dunia nzima nchi zote wanajitahidi kupambana sisi tunasema tuombe hahaha nyoooko na bado ndiyo kwanza limeanza
 
Back
Top Bottom