MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Nifafanulie tafadhali Ndugu.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!“Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa sana lakini tumeamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania sasa lazima waelewe kuwa tunakabiliwa na changamoto kubwa”
Waziri wa Afya @umwalimu
Chanzo: BBC Swahili.
Hao watu hawana ndugu humu Jf?Bado vifo maana huko MLONGANZILA tunaambiwa kila siku corona inaondoa watu
Mimi na wewe hatujui ila habari ndio hiyooooHao watu hawana ndugu humu Jf?
Yupo kwenye kamlima hivi mleba kwa nyuma yakeKwani Magufuli yupo wapi now