JOHNSON1996
New Member
- Sep 1, 2021
- 1
- 0
Bei gan bussnes cardJipatie logo sasa.
Karibu sana tuyajenge.
Logoriddim:: Gifted by The Almighty. Trusted by HumansView attachment 1936605
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gan bussnes cardJipatie logo sasa.
Karibu sana tuyajenge.
Logoriddim:: Gifted by The Almighty. Trusted by HumansView attachment 1936605
Habari mkuu. Sina maneno mengi Boss... bei nimeshazitaja sana tokea ktk post za mwanzo. Bahati mbaya haukufanikiwa kuonaWeka bei! Maneno mengi mbona mkuu
Asante sn mkuu. Mola Muumba akujaalie umri mrefu na siha njema.Inapendeza na ahsante kwa taarifa...
Habari Bingwa. Hapana ndugu. Hauwezi kupata logo kwa bei hiyo. Kwa msingi wa biashara Itakuwa ni hasara kwangu. Hii software ya Adobe llustrator ninayotumia, license yk kwa mwaka ninailipia milion 1.2 na ushee kidogo. Sasa kufanya kazi kwa buku tano. .. Duh!Kuna buku tano.....naweza kupata logo