Nduna shujaa
Senior Member
- Aug 14, 2022
- 163
- 134
Ndg wanajukwaa kumekuwa na tabia ya ubaguzi ktk utoaji mikopo ya manispb kwa vijana.Mfano hai ni manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Miaka mi3 nyuma niliunda kikundi tukaakisajili, tukafungua akaunti tukandaa mchanganuo.
Kabla hawajatutembelea ikaibuka hoja dhaifu eti miongoni mwa barua ipitie kwa katibu wa CCM tawi akasaini ndipo tusonge na michakato mingine iendelee,tatizo kwenye kikundi tulikuwa watu wa itikadi tofauti tukaachana na mpango lakini hakuna kukata tamaa.
Mwaka juzi kikaundwa kingine process zote zikaenda sawa ila ofc ya maendeleo ya jamii akasema angalau tuwe wanakikundi 10 wakati awali afisa maendeleo wa kata alisema tukiwa kuanzia wa5 tunawezapata. Kutokana na blablaa nyingi tukaachana na mpango ule.Sasa kusumbuliwa kwetu kusifanye tusishauri.maafisa wanatofautianaje wakati majukumu yao ni ya aina moja?
Kuna shida mahala watumishi watendaji kukaa ofcn badala ya kwenda kutoa elimu namna ya kupata mikopo ili kuepusha usumbufu. Pia inachukuwa hata mwezi hadi kutembelewa ni kama baadhi ya watendaji hawapo makini.Na tabia ya kuingiza uchama ktk mambo ya maendeleo tunakwamisha maendeleo ya mtu,manispaa na taifa.
Mnatoa mikopo kwa unasaba wa chama na kujuana mwishowe manispaa zinapoteza pesa mana pesa zaenda kwa wanamtandao na hawarejeshi au kurejesha nusu tu kwasababu ya kulindana. Wakopesheni wenye dhamira ya kufanya kazi acheni uchama na kujuana tunakumbatia umasikini. Mungu awabari wahusika muepukane na hila.