Tunachimba visima na kuuza machine za kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

Tunachimba visima na kuuza machine za kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

huduma hii mnaitoa kwa bei gani
Kuna machine za bei tofauti kulingana na capacity ya machine. Kwa hiyo mteja atasema anahitaji machine yenye uwezo wa kutoa lita ngapi kwa siku. Pia ghalama ya machine inategemea hayo maji yako yana chumvi kiasi gani?
 
kwahiyo huwezi fafanua hizo machine na bei zake?
mteja hazijui
Kuna machine za bei tofauti kulingana na capacity ya machine. Kwa hiyo mteja atasema anahitaji machine yenye uwezo wa kutoa lita ngapi kwa siku. Pia ghalama ya machine inategemea hayo maji yako yana chumvi kiasi gani?
 
Machine za kusafisha maji chumvi yenye uwezo wa Lita 20,000 - 50,000 kwa siku ni Bei gani. Kiwango Cha chumvi ni moderate yananyweka.
 
Reverse osmosis plant mnauza bei gani? Inayo uwezo wa kuchuja lita ngapi za maji kwa siku? Inahitaji pressure ya maji kiwango kipi(psi)?
 
We weka hapa tu mkuu naamini wapo wengi wanataka kujua
Mkuu kuna factors nyingi zinazodetermine gharama ya machine. Maji lazima tuyapeleke maabara kuyapima tujue yana "chemicals" zipi. Kwenye maji kuna chemical nyingi including chumvi na magadi. Hivyo gharama zitabase na ubora wa hayo maji pamoja na uwezo wa kutoa maji i.e. litre kwa siku. Kwa hiyo siwezi kutoa jibu ambalo ni unprofessional.
 
Samaritan Water Solution LTD ni wataalamu wa kuchimba visima kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa. Tunafanya survey kwa bei nafuu. Pia tunatengeneza machine za kuchujia maji kwa wale wenye visima vya maji chumvi. Pia tunafunga irrigation system kwa wale wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Pia tunatengeneza mabwawa ya kufugia samaki (fish ponds). Tunajenga minara ya kuwekea matanki ya maji, tunauza pump za maji, tunauza generators, tunaweka mifumo ya umeme wa jua (solar system) na mengine mengi.

Wasiliana nasi kwa simu namba +255682717749, +255676405024 email: info@samaritanwater.co.tz

View attachment 1848282

View attachment 1848283

View attachment 1848284

View attachment 1848632

View attachment 1848634
Survey kwa mkoa wa mwanza ni Bei gani?
 
Survey kwa mkoa wa mwanza ni Bei gani?
Suvery inaanzia 500,000 na kuendelea. Kuendelea maana yake inategemea na ukubwa wa eneo. Kama eneo ni kubwa let's say heka 20 bei yake haiwezi kulingana na survey kwenye eneo la miguu 20 kwa 20.
 
Suvery inaanzia 500,000 na kuendelea. Kuendelea maana yake inategemea na ukubwa wa eneo. Kama eneo ni kubwa let's say heka 20 bei yake haiwezi kulingana na survey kwenye eneo la miguu 20 . Mfn kwangu ni heka tano
 
Kwa huduma mbalimbali zinazohusiana na maji tafadhali tutafute.
 
Shukrani mkuu.

kaka water filter system ifuatayo mnauzaje

1. option A

Big blue canisters za 10 x 4.5 ikiwa na filter zifuatazo

  • Sed filter washable 50micron
  • Sed filter Poly 5micron
  • Carbon (coconut ) with KDF85 Filter 5micron

1. option B

Big blue canisters za 20. x 4.5 ikiwa na filter zifuatazo

  • Sed filter washable 50micron
  • Sed filter Poly 5micron
  • Carbon (coconut ) with KDF85 Filter 5micron

nipe bei hizo option hapo juu kufunga nafunga mwenyewe,

pia mnasupply brand gani
 
hili tangazo lako ungeliweka huko huko unakotaka tolea maelezo
Ukiona Hivyo Ujue Ubabaishaji Mwingi

Kuna Kampuni Nilichimba Kisima Walikuwa Wazi Kwa Gharama

Wao Wanachimba Metre Tshs 50000/= Bila Kuweka Bomba
Wakiweka Bomba Metre Tshs 80000/=

Survey Tshs 300000/=
Report Inapelekwa Bonde La Mamlaka Za Eneo Ulipo Unapewa Kibari Tshs 150000/=

Wanachimba Baadaye Maji Yakitoka Wanaangalia Uwingi Hapo Utanunua Pump, Kamba, Bomba, Switch, Wire

Huyo Anasema Kila Kitu Piga Simu Wengine Madalali Tu
 
kaka water filter system ifuatayo mnauzaje

1. option A

Big blue canisters za 10 x 4.5 ikiwa na filter zifuatazo

  • Sed filter washable 50micron
  • Sed filter Poly 5micron
  • Carbon (coconut ) with KDF85 Filter 5micron

1. option B

Big blue canisters za 20. x 4.5 ikiwa na filter zifuatazo

  • Sed filter washable 50micron
  • Sed filter Poly 5micron
  • Carbon (coconut ) with KDF85 Filter 5micron

nipe bei hizo option hapo juu kufunga nafunga mwenyewe,

pia mnasupply brand gani
Kimya
 
Back
Top Bottom