Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnazo solar water pump kwa matumizi ya nyumbani yaani kuongeza presha ya maji yanayotoka kwenye simtank kuingia kwenye nyumba?View attachment 2176956
Kutana na pampu ya maji kutoka ujerumani, iliyoundwa kwa mazingira ya nchi zinazoendelea.
Kwanini pampu hii ni ya kipekeee?
Karibu sasa ujipatie complete set na installations kwa bei ya Tshs 3,800,000
- Ndio pump inayoweza kutoa maji katika chanzo chochote cha maji, yaani mabwawa, mito, maziwa, visima, n.k
- Ndio pump ndogo yenye uwezo wa kufanya kazi kubwa, ndani ya box inakuja na sensor yake inayoweza kujiwasha na kujizima hivyo inaweza kufanya kazi siku nzima kwa interval maalumu.
- Ndio pump inayotumia mwanga wa jua inayopatikana kwa bei nafuu huku ikiwa na uwezo wa kutoa hadi lita elfu 25 kwa siku.
- Rahisi kuifunga na kuifungua na kuhamisha kwenda sehemu moja hadi nyingine, haitaji wiring
Pia utaelekezwa namna ya kuifunga na kuifungua.
SMS/CALL/WHATSAP 0699 494650
Kariakoo DSM/ mkoani utaletewa
View attachment 2176958
View attachment 2176975View attachment 2176977
zipo mkuu 1.7 MMnazo solar water pump kwa matumizi ya nyumbani yaani kuongeza presha ya maji yanayotoka kwenye simtank kuingia kwenye nyumba?
KaribuAhsante kwa taarifa...
Nahitaji pump ya kusukumia maji kutoka mtoni kwenda kwenye shamba la ekari 10 lenye muinuko mkali kidogo, nitapata. Kama ipo bei yake ni sh ngapi?Ha ha ha chukua hiyo ndogo hiyo ni ya kilimo mkuu,,
Inabidi ufanye hesabu toka mtoni hadi Shamba ni umbali gani.Nahitaji pump ya kusukumia maji kutoka mtoni kwenda kwenye shamba la ekari 10 lenye muinuko mkali kidogo, nitapata. Kama ipo bei yake ni sh ngapi?
Unataka inayotumia petroli au umeme?Nahitaji pump ya kusukumia maji kutoka mtoni kwenda kwenye shamba la ekari 10 lenye muinuko mkali kidogo, nitapata. Kama ipo bei yake ni sh ngapi?
Ni mita 300 MkuuInabidi ufanye hesabu toka mtoni hadi Shamba ni umbali gani.
Hatua moja au tambo moja ni SAwa na mita moja kama ukishindwa kutumia foot meter
Kisima aina gani mkuu? Cha kalavati au borehole?Pump ya kuvuta maji kisima mita 15, ipi nzuri na bei zake zikoje?
Inayotumia petroli. Kutoka mtoni hadi shambani ni mita 300.Unataka inayotumia petroli au umeme?
Sijaelewa hizo terms, ila ni kisima cha kuchimbwa kwa mikono.Kisima aina gani mkuu? Cha kalavati au borehole?
Cha mkono ndio kalavati hiyo, sasa hapo itakupasa uchukue shimge pump 1 hp, bei ni 350,000Sijaelewa hizo terms, ila ni kisima cha kuchimbwa kwa mikono.