Tunachokipigania kikipatikana, hiyo reforms iende beyond "the upper most" ya mfumo unaobezwa.

Tunachokipigania kikipatikana, hiyo reforms iende beyond "the upper most" ya mfumo unaobezwa.

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,206
Reaction score
27,987
Hoja haikataliwi, inapingwa kwa hoja !

Watanzania wenzangu mm kuna jambo lanifurukuta hapa Paje mpaka nachefukwa kwa hali hii ya uzalendo uliobeba visasi n kupandikizwa chuki.

Ndugu zangu, nazungumza kwa muwala na kiala! Katika hali vilivyo yanayotokea hapa si mapya duniani kote. Mapinduz yalifanyika mengi sana toka French revolution miaka hiyo uliondoka utawala, ikafanyika West Afrika. Now kipindi. Cha Generation Z kinarindimka mwambao wa bahari Hindi kama mtindo fulani wenye mbebezo wa kutaka Kuleta uwiano tija wa kusisitiza uongozi kusimamia katiba na kuwajibika kama nyenzo ya demokrasia na msingi mkuu wq maendeleo.

Ndugu zangu, kama ilivyo ada! Machafuko kama haya yalifanyika Sudan, yakafanyika Libya, Somalia . Nk. Yakitaka usawa katika mgawqnyo wa maendeleo, kuwajibika kwa uongozi, demokasia na haki ya mwananchi wa kawaida mpaka leo hali si shwari tangu na tangu. Tujiulize, kama anaepambaniwq hapa ni mwananchi wq kawaida, atanufaika vipi na mbadiliko yanqyotegemewa?

Nionavyo mm kuwa ni sahihi sana kukemea, lakini ninqkumbusha sana kuwa tunqchokitaka katika uongozi huu na ule utakaokuja sio tu Uwajibikaji bali pia Uinuaji wa kiuchumi wa mwananchi wa kawaida kabisa ambaye pengine anahangaika na Muingiliano wa kijamii na matabaka ya kati kama mfanya kazi wa bei rahisi "toiler".

Kwa kigezo hiki cha kunufaika maskini, kuwajibisha uongozi wa juu kunaweza kusiwe na matokeo yanayotarajiwa maana maskini huyu ni mhanga wa mgumo zaidi kuliko uongozi uliopo ndani ya mfumo ule. Swali la kujiuliza, kuachwa kwa ufisadi na ufujaji wa mali za umma kwq viongozi wa juu kunamnufaishaje mwananchi maskini wa chini kabisa?.

Ndugu zangu, tukijenga lami na masaa ya kufika niendako hayajapungua kufananisha na lipindi lami hakuna, nauli haishuki! Lami na dhana nzima ya maendeleo iliyobebwa na lami ile ina maana gani kwa mwananchi wa kawqida?.

Nilipata wasaa mzur wa kumsikiliza H. Polepole akiwa na hoja, makisio na tafakuri zilizosheheni takwimu, kwqmba tuelekeze hasa kwenye utekelezaji wa kweli. Kwamba Kubadilika kwa uongozi sio shida, shida mipango ya karatas tunazosomewa na zinakinzana na uhalisia. Mama leo hii amebanwa sabab tayari hiyo gepu imejitosheleza na hoja kwamba hito hela wanagawana na kikundi fulani na utajiri wa kuonekana watanzania wote tunauona. Swali, je ni kama pesa zote hizo hawa watu wa juu wangeenda kuwekeza Malaysia au Philipines nani angejua? Watanzania leo hii tungedai nn zaidi?


Wasalaam!
 
Back
Top Bottom