Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
We kweli msukuma kama mimi lakini sio sukuma gang. Kuna tofauti hizoMtaimba nyimbo zote safari hii.Mlianza na lizombe,kiduo,msusumio,maswezi,chagulaga,mbina,sensemamalunde,njuga na mtamalizia na igembe nsabho!😂😂😂😂😂
Mliozoea kuswaga ng'ombe kwa mikong'oto mtaumia sana.Eti anadai atakua anawalea, ila jaman watanzania safari hii tumepata kichekesho
Mbona kama ni wewe mwenyewe ndiye unayeimba hizo nyimbo hapa JF [emoji848][emoji1787]Mtaimba nyimbo zote safari hii.Mlianza na lizombe,kiduo,msusumio,maswezi,chagulaga,mbina,sensemamalunde,njuga na mtamalizia na igembe nsabho![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Mmarekani Mmoja anaitwa Steve Harvey aliwahi kusema kuwa Success is the very uncomfortable process to attempt alimaanisha kuwa mafanikio yanahitaji hofu, yanahitaji pressure yanahitaji kukosa raha yanahitaji kila Aina ya internal and external forces.
Binadamu yeyote anayejaribu kushusha hasira za Mapambano ya kuutesa mwili na roho huyu amekosea. Ni hatari sana tena sana kwa Rais wa nchi yeye kujipambanua madhaifu yake mbele ya umma kiongozi popote pale usizoeleke lazima uwe mkali, mfariji kuwalinda wema dhidi ya makatili.
Tunadekezwa