Tunaelekea wapi jamani? Mfuko wa saruji(cement) umefikia Sh. 15,500/= Kigamboni

Nadhani Serikali imejisahau majukumu yake hasa kupitia tume ya ushindani wa kibiashara.

Wafanyabiashara wameachwa kujipangia bei matokeo yake ndiyo haya ya kununua mfuko wa saruji 15,500/-

Dangote aliposimamisha uzalishaji saruji ilikuwa 19,000/- kwa mkoa wa Mtwara sijui kama saivi itakuwa imeshuka
 
Tuwe Wavumilivu Pia Akiba Ya Maneno
Tupo Kwenye Light Track
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…