Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,168
Uvuvi....kilimoKilwa kuna shughuli za kiuchumi??Eneo lina ukubwa gani??
Uvuvi....kilimoKilwa kuna shughuli za kiuchumi??Eneo lina ukubwa gani??
Wewe kiboko!Bia zimeshuka jitahidi kutumia ktk ujenzi
Sijawa mzoefu maeneo hayo labda uni convince.Uvuvi....kilimo
Kwakweli mtwara zaidi ya mtwara mjini sijawahi fika sehemu nyingine then kilwa ni sehemu nzuri kwa kilimo cha mikorosho...mpunga....mahindi...mtama ...mbaazi...naweza sema zao lolote linakubali nilisahau ufuta ndo zaidiSijawa mzoefu maeneo hayo labda uni convince.
Umewahi kutembelea maeneo gani ya Mtwara zeshchriss?? Kuna maeneo yanashawishi sana kuwekeza hasa kwenye kilimo cha Korosho mfano Nanyamba,Tandahimba na Newala
Nitakuja huko Kilwa nikaone hizo fursa za uvuvi na kilimo unazosema.
Yakennya haivuki siku hivi, tra wakali sana siku hivi, hata ukikutwa nayo tu utakiona kilichoifanya ccm itawale milele. Unaweza kufilisiwa kabisa.Tarime wanatumia ya kenya bei Chee
Nitakuja mkuu zeshchriss kuwatembelea hope nitapata cha kujifunza huko Kilwa hususani kwenye kilimo.Kwakweli mtwara zaidi ya mtwara mjini sijawahi fika sehemu nyingine then kilwa ni sehemu nzuri kwa kilimo cha mikorosho...mpunga....mahindi...mtama ...mbaazi...naweza sema zao lolote linakubali nilisahau ufuta ndo zaidi
Uko sahihi mkuu, viwanda vyote vilivo chini ya Heidelberg cement group kikiwemo na twiga cement vyote vilikua vinapeleka cement south Africa kwa ajili ya kazi hiyo.Hiyo ilisababishwa na ujenzi wa viwanja vya mpira South Africa nadhani
Pole sana mkuu kwa kuongea usilolijua........tuulize kina sie tuliokua kwenye game hii ya kuuza cement.....Nadhani Serikali imejisahau majukumu yake hasa kupitia tume ya ushindani wa kibiashara, wafanyabiashara wameachwa kujipangia bei matokeo yake ndiyo haya ya kununua mfuko wa saruji 15,500/-
Dangote aliposimamisha uzalishaji saruji ilikuwa 19,000/- kwa mkoa wa Mtwara sijui kama saivi itakuwa imeshuka
Huku kwenu Geita - Chato ni 20,000Tena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni, mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki, ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
Karibu kilwa yetuNitakuja mkuu zeshchriss kuwatembelea hope nitapata cha kujifunza huko Kilwa hususani kwenye kilimo.
Dangote kapigwa ban hakuna kuuza cement soko la DSMdangote ndo mtetezi wa kweli.
Hawa twiga kichefu chefu.