Yani nimecheka utadhani mazuriTena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni, mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki, ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
Mkuu tunaelekea kuunga mkono utendaji ulio tukuka wa mh rais!!!!!!!!!!Tena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni, mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki, ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
Sasa hivi reja reja elf 12 mpk 13.....Nadhani Serikali imejisahau majukumu yake hasa kupitia tume ya ushindani wa kibiashara, wafanyabiashara wameachwa kujipangia bei matokeo yake ndiyo haya ya kununua mfuko wa saruji 15,500/-
Dangote aliposimamisha uzalishaji saruji ilikuwa 19,000/- kwa mkoa wa Mtwara sijui kama saivi itakuwa imeshuka
Mtanyoooka tu,CCM mbele kwa mbele,Ccm jaman mtatuua s
Tena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni, mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki, ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
Acha uongo wewe wote tulikuwepo miaka yote hiyoMtajuju si mlimchagua mkuza uchumi sasa mtashaa uchumi utaishia chato kwao,hata tone la aibu hana,cement kutoka 9500 mwaka 2015 hadi 15000-16!???
uchochezi.Sasa pesa ya kuwanunua wa upande ule waje upande huu ili tuonekane tunakubalika zitatoka wapi???
Bei hiyo mkuu ni kwa mkoa wa Mtwara??Imeanza lini??Sasa hivi reja reja elf 12 mpk 13.....
Ni mwezi sasa hivi watu wananunua hivyoBei hiyo mkuu ni kwa mkoa wa Mtwara??Imeanza lini??
Ngoja nitafute plot huko nipate angalau kibanda cha chumba mbili🏃🏃🏃Ni mwezi sasa hivi watu wananunua hivyo
Njoo nikuuzie eneo langu ila lipo kilwa ambapo cement kwa sasa ni 13500Ngoja nitafute plot huko nipate angalau kibanda cha chumba mbili[emoji125][emoji125][emoji125]
Kilwa kuna shughuli zipi za kiuchumi??Eneo lina ukubwa gani??Njoo nikuuzie eneo langu ila lipo kilwa ambapo cement kwa sasa ni 13500