Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Kilwa uko Halmashauri??Karibu kilwa yetu
Kilwa uko Halmashauri??Karibu kilwa yetu
Okay mkuu stanleyRuta nini kinaendelea huko viwandani mpaka bei ya saruji kupanda??Pole sana mkuu kwa kuongea usilolijua........tuulize kina sie tuliokua kwenye game hii ya kuuza cement.....
Ndo serikali YA WANYONGE hii.Dangote kapigwa ban hakuna kuuza cement soko la DSM
Dangote haleti saruji Dar ........Pili kuna monopoly kwamba super dealers wakubwa ndo wanaopewa cement peke yao kwa sasa hivo wale wadogowadogo waliokuwa na uwezo was kwenda kiwandani na kusupply madukani hawapewi saruji. Hivo basi inakubidi ufuate cement kwa hao magiant na kwenyewe mnapanga foleni kupata cement.Mnaweza kupanga foleni watu 70 lakini mkaishia kupewa watu 12 au 9 tu ilihali cement inakuwa bado ipo godown. Unaweza ukawahi kwenye foleni lakini mhindi akakutoa kama si mteja wa siku zote.Okay mkuu stanleyRuta nini kinaendelea huko viwandani mpaka bei ya saruji kupanda??
Viongozi wa twiga cement wamempoteza.Dangote kaishia wapi?
Nadhani Serikali imejisahau majukumu yake hasa kupitia tume ya ushindani wa kibiashara, wafanyabiashara wameachwa kujipangia bei matokeo yake ndiyo haya ya kununua mfuko wa saruji 15,500/-
Dangote aliposimamisha uzalishaji saruji ilikuwa 19,000/- kwa mkoa wa Mtwara sijui kama saivi itakuwa imeshuka
Nyie watanzania huwa humueleweki mnahitaji nini ..bei ikishuka mtakuja na ngonjera kuwa uchumi una poromoka ....hata kwenye mahimdi kuwa bei ya chini na unga mna lalamika...Huku nondo ilikuwa 16elfu now ni 21, cemend mwaka jana ilikuwa 15elfu but now ni 20elfu... Nahc mkoa wangu wote n wapiga dili na wanavyeti feki
Hahaha, ROmanaSTAMina, nishakuelewa.Viongozi wa twiga cement wamempoteza.
Kuna madon pale.
Kuna jamaa kaniambia ROMA NA stamina wana share yao pale twiga.sina uhakika.
Hapa Kuna ukweli Ndani yake, ila Pia Dangote akiingia Sokoni Bei Itashuka sana sana,Sasa hivi Dangote Hasafirishi Cement DSM,Kwa Kuwa Anazalisha kidogo sana,Almost Anatembea Massa Kadhaa anazima Matambo Sababu ya Umeme,Inaonekana Bado Hajaonganishwa na Gesi,Labda Mchakato Unaendelea...kutembeza Kiwanda cha Cement kinahitaji Umeme Mkubwa.sijui Nani Anachelewesha,Au ni Yeye Mwenyewe Hajaweka Mitambo ya Umeme Au kuna Figisu?Dangote haleti saruji Dar ........Pili kuna monopoly kwamba super dealers wakubwa ndo wanaopewa cement peke yao kwa sasa hivo wale wadogowadogo waliokuwa na uwezo was kwenda kiwandani na kusupply madukani hawapewi saruji. Hivo basi inakubidi ufuate cement kwa hao magiant na kwenyewe mnapanga foleni kupata cement.Mnaweza kupanga foleni watu 70 lakini mkaishia kupewa watu 12 au 9 tu ilihali cement inakuwa bado ipo godown. Unaweza ukawahi kwenye foleni lakini mhindi akakutoa kama si mteja wa siku zote.
Tatu uzalishaji wa twiga cement umeshuka kutokana na kuharibika kwa sehemu ya mitambo ya udhalishaji.
High demand, low supply= High price
AbuzolutiliWe r on ze right track
Ova
Muongo ni wewe, cement tangu dangote azalishe dangote cement ilikuwa 9,600.00 hadi walipomvuruga ikaadimika ikapanda,Acha uongo wewe wote tulikuwepo miaka yote hiyo
Cement ina msimu huwa inapanda sana, kisha inaanza kushuka na hiyo kuuzwa 15,500 si leo tu hata miaka ya nyuma iliwahi kuwa hivyo
Inawwzekana Tatizo liko Kwake Dangote Mwenyewe....Sidhani Kama Tatizo ni kuunganishwa Gas,Mbona Gas IPO Karibu tuu?Au Yeye Bado Hajafunga Mitambo ya Kufufua Umeme?Hapa Kuna ukweli Ndani yake, ila Pia Dangote akiingia Sokoni Bei Itashuka sana sana,Sasa hivi Dangote Hasafirishi Cement DSM,Kwa Kuwa Anazalisha kidogo sana,Almost Anatembea Massa Kadhaa anazima Matambo Sababu ya Umeme,Inaonekana Bado Hajaonganishwa na Gesi,Labda Mchakato Unaendelea...kutembeza Kiwanda cha Cement kinahitaji Umeme Mkubwa.sijui Nani Anachelewesha,Au ni Yeye Mwenyewe Hajaweka Mitambo ya Umeme Au kuna Figisu?
Ila Inatakiwa Dangote Aingie Sokoni Mapema ili Bei ya Cement ishuke,Pia Sidhani kama watu wanaweza kumpiga Ban Asilete DSM, sijui,ila Lolote lawezekana Kuna Fitna Viwanda vya Cement wakubwa wenye hisa Zao.
BUT Cement inatakiwa Sokoni kwa Wingi ili Kushusha Bei,sio watu wachache kunufaika na Kodi haiongezeki...
mkuu bora nyie si hk kwetu 18500Tena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni, mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki, ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?