Hapa Je Kuna ukweli wowote Ndani yake?, ila Pia Dangote akiingia Sokoni Bei Itashuka sana sana,Sasa hivi Dangote Hasafirishi Cement DSM,Kwa Kuwa Anazalisha kidogo sana,Almost Anatembea Massa Kadhaa anazima Matambo Sababu ya Umeme,Inaonekana Bado Hajaonganishwa na Gesi,Labda Mchakato Unaendelea...kutembeza Kiwanda cha Cement kinahitaji Umeme Mkubwa.sijui Nani Anachelewesha,Au ni Yeye Mwenyewe Hajaweka Mitambo ya Umeme Au kuna Figisu?
Ila Inatakiwa Dangote Aingie Sokoni Mapema ili Bei ya Cement ishuke,Pia Sidhani kama watu wanaweza kumpiga Ban Asilete DSM, sijui,ila Lolote lawezekana Kuna Fitna Viwanda vya Cement wakubwa wenye hisa Zao.
BUT Cement inatakiwa Sokoni kwa Wingi ili Kushusha Bei,sio watu wachache kunufaika na Kodi haiongezeki...
Hapa Je Kuna ukweli Ndani yake?, ila Pia Dangote akiingia Sokoni Bei Itashuka sana sana,Sasa hivi Dangote Hasafirishi Cement DSM,Kwa Kuwa Anazalisha kidogo sana,Almost Anatembea Massa Kadhaa anazima Matambo Sababu ya Umeme,Inaonekana Bado Hajaonganishwa na Gesi,Labda Mchakato Unaendelea...kutembeza Kiwanda cha Cement kinahitaji Umeme Mkubwa.sijui Nani Anachelewesha,Au ni Yeye Mwenyewe Hajaweka Mitambo ya Umeme Au kuna Figisu?
Ila Inatakiwa Dangote Aingie Sokoni Mapema ili Bei ya Cement ishuke,Pia Sidhani kama watu wanaweza kumpiga Ban Asilete DSM, sijui,ila Lolote lawezekana Kuna Fitna Viwanda vya Cement wakubwa wenye hisa Zao.
BUT Cement inatakiwa Sokoni kwa Wingi ili Kushusha Bei,sio watu wachache kunufaika na Kodi haiongezeki...
Jana nimeitafuta sikupata nikaja ipata shs 16,000 kwa mfuko.....kiwanda cha wazo kipo mita 800 toka nilipo!!!!.....hawa wenye viwanda watakuwa wameanzisha cartel yao????Tegeta, bunju, kiwanda kiko hapa hapa lakini mfuko ni 14000......yapo mengi sana viipi petrol kwa sasa? Kwakwel tunakoelekea ni njia yenye utelezi na kiza nene kisha malaika akitufutia na upanga
Basi wanunueni taratibu, sio kwa mpigo, tunaumizanaSasa pesa ya kuwanunua wa upande ule waje upande huu ili tuonekane tunakubalika zitatoka wapi???
Hahahahah..., aaagh...!!? Tumefikia huko?Nipo Jirani kabisa na kiwanda cha wazo ila kwa sasa siwezi kupata access ya kupata cement. Kwa sasa mzigo tunachukulia Ubungo kwa mhindi na yenyewe inabidi uwahi saa Tisa usiku ili uhesabiwe mamba.........
Kivipi? Kwani DSM sio sehemu ya nchi hii? Naomba ufafanuzi wako stanleyrutaDangote kapigwa ban hakuna kuuza cement soko la DSM
Kwanini Dangote haleti Cement Dar?Dangote haleti saruji Dar ........Pili kuna monopoly kwamba super dealers wakubwa ndo wanaopewa cement peke yao kwa sasa hivo wale wadogowadogo waliokuwa na uwezo was kwenda kiwandani na kusupply madukani hawapewi saruji. Hivo basi inakubidi ufuate cement kwa hao magiant na kwenyewe mnapanga foleni kupata cement.Mnaweza kupanga foleni watu 70 lakini mkaishia kupewa watu 12 au 9 tu ilihali cement inakuwa bado ipo godown. Unaweza ukawahi kwenye foleni lakini mhindi akakutoa kama si mteja wa siku zote.
Tatu uzalishaji wa twiga cement umeshuka kutokana na kuharibika kwa sehemu ya mitambo ya udhalishaji.
High demand, low supply= High price
Basi wanunueni taratibu, sio kwa mpigo, tunaumizana
Punguza kidogo UONGO mkuu. Saruji haijawahi kufika sh 19,000 kwa mfuko Mtwara katika hicho kipindi ulichowasilisha.Nadhani Serikali imejisahau majukumu yake hasa kupitia tume ya ushindani wa kibiashara.
Wafanyabiashara wameachwa kujipangia bei matokeo yake ndiyo haya ya kununua mfuko wa saruji 15,500/-
Dangote aliposimamisha uzalishaji saruji ilikuwa 19,000/- kwa mkoa wa Mtwara sijui kama saivi itakuwa imeshuka
Mkuu unataka tuanze kubishana??Nilikwepo huko kipindi ambacho saruji ilifika 19,000/- mpaka niliingiwa na tamaa ya kuanza kusupply manake hata kama ningeweza kununua mfuko Dsm kwa 14,500/- bado nilikuwa naweza kupata faida ya 3,500/- kwa kila mfuko kwa maeneo ya Tandahimba na Nanyamba by that time ingawa baadaye nilighairi kufanya.Punguza kidogo UONGO mkuu. Saruji haijawahi kufika sh 19,000 kwa mfuko Mtwara katika hicho kipindi ulichowasilisha.
Wewe ulikuwepo kimatembezi, mimi baadhi ya shughuli na kazi zangu ziko maeneo haya ya Kusini. Kwa hiyo naongea kiuhalisia na uelewa zaidi. Binafsi huwa sio mtu wa mabishano, umri umenifundisha mengi. Hayo maeneo uliyotaja Tandahimba na Nanyamba hizo zilikuwa ni bei za walanguzi na wahuni wachache. Ndio maana mleta mada ameleta hoja/taarifa ya Bei ya kigamboni na sio ya Dar es salaam nzima.Mkuu unataka tuanze kubishana??Nilikwepo huko kipindi ambacho saruji ilifika 19,000/- mpaka niliingiwa na tamaa ya kuanza kusupply manake hata kama ningeweza kununua mfuko Dsm kwa 14,500/- bado nilikuwa naweza kupata faida ya 3,500/- kwa kila mfuko kwa maeneo ya Tandahimba na Nanyamba by that time ingawa baadaye nilighairi kufanya.
Hizo bei zilikuwa ni za kipindi kile Dangote Cement industry amesimamisha uzalishaji,Wewe ulikuwepo kimatembezi, mimi baadhi ya shughuli na kazi zangu ziko maeneo haya ya Kusini. Kwa hiyo naongea kiuhalisia na uelewa zaidi. Binafsi huwa sio mtu wa mabishano, umri umenifundisha mengi. Hayo maeneo uliyotaja Tandahimba na Nanyamba hizo zilikuwa ni bei za walanguzi na wahuni wachache. Ndio maana mleta mada ameleta hoja/taarifa ya Bei ya kigamboni na sio ya Dar es salaam nzima.
Kila la kheri kamanda.