Tunaelekea wapi jamani? Mfuko wa saruji(cement) umefikia Sh. 15,500/= Kigamboni

Tunaelekea wapi jamani? Mfuko wa saruji(cement) umefikia Sh. 15,500/= Kigamboni

Saruji ni 18000
Gesi ni 51000
Sukari ni 2800
Petroli ni 2460
Ila pombe imeshuka bei. Nadhani na guest hausi bei imeshuka sana

Haya yamepanda ndani ya 24 hrs
 
Kuna Sub baadhi ya mikoa cement imefika hadi 18,000
Sub sahara mentality ni kila mtu kumiliki nyumba nadhani ndo problem.Nliongea na wazungu nchi mbalimbali waliniambia Kwao kujenga sio kipaombele sababu rent na nyumba za kupanga ni simple.Hata Tanzania sio ghali.Tatizo mindset.
 
Wee, Kaa kwa kutulia! Uchumi wa nchi unakua, na tukimaliza kujenga ile miradi mikubwa ya kitaifa bei utaimudu kwa sababu mishahara itapanda kwa kiwango kikubwa mpaka utafurahi!
 
Ngoja nikomae tu nimalize hiki kibanda, nitakuja kusimulia.
 
Tena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni.

Mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki.

Ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
Mpaka leo kama hamumjui Adui yenu poleni sana
 
Nadhani Serikali imejisahau majukumu yake hasa kupitia tume ya ushindani wa kibiashara.

Wafanyabiashara wameachwa kujipangia bei matokeo yake ndiyo haya ya kununua mfuko wa saruji 15,500/-

Dangote aliposimamisha uzalishaji saruji ilikuwa 19,000/- kwa mkoa wa Mtwara sijui kama saivi itakuwa imeshuka
Ndugu umewahi kufanya biashara yoyote japo ya Genge? Unajua biashara ni faida.? unajua majanga wanayofanyiwa wafanyabiashara mikodi isiyoeleweka?
 
Sub sahara mentality ni kila mtu kumiliki nyumba nadhani ndo problem.Nliongea na wazungu nchi mbalimbali waliniambia Kwao kujenga sio kipaombele sababu rent na nyumba za kupanga ni simple.Hata Tanzania sio ghali.Tatizo mindset.
Tatizo wenye nyumba wanamanyanyaso sana, kodi wanadai kwa fujo, kodi ikikaribia hata usingizi unakosa.
 
Ndugu umewahi kufanya biashara yoyote japo ya Genge? Unajua biashara ni faida.? unajua majanga wanayofanyiwa wafanyabiashara mikodi isiyoeleweka?
faida ya kuwaumiza watu hyo ni FAIDA?
Acha mambo ya ubepari na ukiritimba.
Hyo ni faida ya haramu.
wanachofanya twiga.ni kitendo cha makusudi ili waongeze bei ya cement.
Wanajua wazi hawawezi kulimudu soko la dar na pwani.kwanini walimfanyia Fitna dangote.
Tanga cement bei ni 12,000 ya simba cement.
kwanini dar cement iwe 13,000 na kuendelea wakati kuna viwanda vingi vya cement.
 
Sijui kama umeelewa nilichosema nilimaanisha mchawi ni Serikali
 
Back
Top Bottom