Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Dunia inaenda Kasi sana.
Baada ya kurudi nchini, Leo nimebahatika kuja hapa Lekam Club iliyopo Maeneo ya Buguruni. Nilichojionea ni masikitiko sana Kwa maendeleo ya taifa hili na ulimwengu Kwa ujumla.
Nimejionea club nzima imekodiwa na visichana vidogo ambavyo Kwa makamo ni miaka 19 mpaka 25.
Idadi ya watu ikiwa takribani 30+ people. 98% wakiwa wanawake, Kwa mahesabu ya haraka haraka wanaume tulikuwa Kama 7 including Dj's, cha ajabu zaidi wasichana wote waliokuja club kila mtu alikuwa na msichana mwenzake au demu wake inshort.
Bila uoga wala aibu yoyote kila demu na demu mwenzake walikuwa wanabambiana, kunyonyana Ndimi nk. Mimi nikiwa mwanaume pekee ninayecheza ukumbini huku wengine wakiwa hawana kampani wamejikalia vitini tu.
Hivi Kama taifa tunaeleka wapi. Hii Hali sio nzuri kwakweli hasa ukizingatia hawa ndo tunaowatarajia kuwa mama zetu au wake zetu wa baadae na pia kukiwa na ongezeko la mashoga.
Nadhani huu utandawazi unatuharibia sana, kuna namna Kama watanzania tunabidi tujirudi, tujitafakari Kama huku ndo tunakotaka kuelekea. Sijui miaka 20 ijayo Taifa letu litakuwaje Kama haya niliyoyaona yataendelea Kwa kiasi kikubwa.
Nawasilisha. Uzi tayari.