Tunaelekea wapi kwa hili ongezeko la Wasagaji?

Kuna upungufu wa jinsia me duniani
..wengine wamehamia upande wetu,wengine wapo magerezani,wengine Ni maparoko,na wengine wameshaoa ndoa ya mke mmoja....hizo ndi Sababu kubwa
Sisi wengine tumeruhusiwa wanne lakini bado mmoja tulienae eti hataki tuwasitiri na wengine wanaoranda randa mitaani! Wanawake hampendani!!
 
Yaani wangeruhusu tu maana UN report on demographics ya first quarter 2021 ulikuwa hivi 7.8bill people on planet,wanawake waliokuwa 5.6billion wanaume 2.2bill,na hapo ndio Kuna wanaume wamefungwa,Kuna mashoga,Kuna maparoko,kunawagonjwa wa akili,Kuna waliooa tayari!Sasa hapo itakuwaje mtuuoe tu hata watano watano😂hao wake zenu ongeeni nao kwa herufi kubwa Kama hawataki piga talaka
 
Yaani wangeruhusu tu maana UN report on demographics ya first quarter 2021 ulikuwa hivi 7.8bill people on planet,wanawake waliokuwa 5.6billion wanaume 2.2bill,na hapo ndio Kuna wanaume wamefungwa,Kuna mashoga,Kuna maparoko,kunawagonjwa wa akili,Kuna waliooa tayari!Sasa hapo itakuwaje mtuuoe tu hata watano watano[emoji23]hao wake zenu ongeeni nao kwa herufi kubwa Kama hawataki piga talaka
Dini yetu imeruhusu. Lakini pia ukimpa talaka na kumtoa aliyepo ndani bado hujamsaidia kwa maana na yeye atarudi mtaani, hivyo ukichukua wengine mtaani yeye umemrudisha mtaani.
Ushauri wako mzuri, tutaendelea kuwanasihi!! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mbona wewe unashika maagizo ya iman na Wenyewe wanapingana na maagizo ya iman?Kama hawataki wake kwenye Iman yetu ndio wajinafasi....wakumbusheni mfano wa Dr mwaka na wakeze
 
Mimi nikiwa mwanaume pekee ninayecheza ukumbini huku wengine wakiwa hawana kampani wamejikalia vitini Tu.
Mlishindwaje kuzitumia hizo fursa? Walikuwa wanawapa ujumbe kuwa mpo mpo tu mpaka mnawalazimisha kujisaidia wao kwa wao.

Siku nyingine semesha hata mmoja uwe naye. Utakuwa umeutendea haku uanaume wako na utapunguza hilo tatizo uliloliona.
 
Mbona wewe unashika maagizo ya iman na Wenyewe wanapingana na maagizo ya iman?Kama hawataki wake kwenye Iman yetu ndio wajinafasi....wakumbusheni mfano wa Dr mwaka na wakeze
Shida inakuja ndoa ni Sunna, lakini pia wake zetu wanatusema vibaya, wanasema kama ni Sunna zipo nyingi kwanini tusifate na hizo nyingine na tunang'ang'ania hii ya kuoa! Kwa kweli tuna mitihani!! Ushauri wako mzuri. Ahsante[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yaani wangeruhusu tu maana UN report on demographics ya first quarter 2021 ulikuwa hivi 7.8bill people on planet,wanawake waliokuwa 5.6billion wanaume 2.2bill,na hapo ndio Kuna wanaume wamefungwa,Kuna mashoga,Kuna maparoko,kunawagonjwa wa akili,Kuna waliooa tayari!Sasa hapo itakuwaje mtuuoe tu hata watano watano[emoji23]hao wake zenu ongeeni nao kwa herufi kubwa Kama hawataki piga talaka
Ngoja tuongee na aliyetuumba kwanza tusije tukafurahishana hapa duniani halafu mwisho wa siku tukalia na kusaga meno huko kusikoonekana!
 
Kuna upungufu wa jinsia me duniani
..wengine wamehamia upande wetu,wengine wapo magerezani,wengine Ni maparoko,na wengine wameshaoa ndoa ya mke mmoja....hizo ndi Sababu kubwa
hahahahaha, okay 1 sin off
 
Dunia hii kuna mambo ni ngumu sana kuyazuia.

Lakini wasagaji na mashoga hawafiki hata asilimia moja ya population yote ya TZ (navyoona,sijafanya research),so naona maisha yaendelee kila mmoja achague maisha yake..but jamii isi-entertain haya mambo kama wanavyofanya wazungu kwenye movies,soccer na kwingineko ambako wanapromote sana Homosexual.
 
Dunia inaenda Kasi sana.

Baada ya kurudi nchini, Leo nimebahatika kuja hapa Lekam Club iliyopo Maeneo ya Buguruni.
Nilichojionea ni masikitiko sana Kwa maendeleo ya taifa hili na ulimwengu Kwa ujumla...
Nawe Lezb? Ulifuata nn ukumbini?
 
Kuna upungufu wa jinsia me duniani
..wengine wamehamia upande wetu,wengine wapo magerezani,wengine Ni maparoko,na wengine wameshaoa ndoa ya mke mmoja....hizo ndi Sababu kubwa
Sio kweli wanawake wengi wanataka mwanaume mwenye hela sasa vijana wengi wanapambana na maisha hela ya kula ulipe kodi uwasaidie wazazi hvyo hela ya kuwa hata ya kutoka na demu weekend ataitoa wapi ndo maana tumeamua kukaa kando kuwaachia wazee ambao washajiweka sawa kiuchumi.

NB: Wanaume tupo ila hatuna hela na hatuijui kesho yetu.
 
Sio kweli..
 
Mlishindwaje kuzitumia hizo fursa? Walikuwa wanawapa ujumbe kuwa mpo mpo tu mpaka mnawalazimisha kujisaidia wao kwa wao.

Siku nyingine semesha hata mmoja uwe naye. Utakuwa umeutendea haku uanaume wako na utapunguza hilo tatizo uliloliona.
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]
 
Back
Top Bottom