Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hao wanaosagana nao Wana hela?Ndo ukweli huo..wanaume wapo sema wanawake hawataki wasio na kitu shida inaanzia hapo..ukweli mtupu huu..
UnasagulaUlikuwa unacheza mziki gani hapo ukumbini peke yako?
Sisi tuko Sewa bar# Buguruni
.Shida sio ndoa, shida ni kutokomeza hii tabia na ndoa haiwez/haziwezi kutokomeza hizi tabia kama malezi tunayotoa kama jamii ni mabovu.
Kumbuka kuna wake za watu ni wasagaji pia
Hii ya malezi nayo kweli.....Uko sawa tuanze kuangalia kuanzia level ya familia malezi yamekaajeShida sio ndoa, shida ni kutokomeza hii tabia na ndoa haiwez/haziwezi kutokomeza hizi tabia kama malezi tunayotoa kama jamii ni mabovu.
Kumbuka kuna wake za watu ni wasagaji pia
Bora tu ubishe sio?nenda kasome report za UN weweHyo ya billion 2.2 males sio ukweli
😂😂😂😂😂Anasagula nini?mashati pale bakharesaUnasagula
Asante mkuuUN (World Population Prospects 2019)
Msagaji anazaa vipi?SI bora wasagaji wanazaa ....ishu mbaya NI ushoga ambao unanyonya mpaka nguvu za kiume
Sababu kubwa Ni matumizi ya Chupa za soda ukeni.Kuna upungufu wa jinsia me duniani
..wengine wamehamia upande wetu,wengine wapo magerezani,wengine Ni maparoko,na wengine wameshaoa ndoa ya mke mmoja....hizo ndi Sababu kubwa
Wewe ulikua unasemaga unapenda manzi awe anakupachikia dildo mkiwa tendoni,siwezi kushangaa hiki ulichokiandika.Kwani hili jambo lina ubaya gani?mie nawaunga mkono wasagaji waendelee tu na maisha yao
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nimeleta data from UN zisome hapo juuBora tu ubishe sio?nenda kasome report za UN wewe
Point ni kwamba wanaume hawajapungua wanaume tupo wengi..ila wanaume wenye qualities wanazotaka wadada ni wachache..na unajua girls are too selective..Sasa hao wanaosagana nao Wana hela?
Ni kweli tena mi mtaa ninaoishi wanaume single wapo wa kutosha, hapo si wababa, wakaka, wavulana yaani full vurugu wengi wana maisha ya chini kabisaNdo ukweli huo..wanaume wapo sema wanawake hawataki wasio na kitu shida inaanzia hapo..ukweli mtupu huu..
Well noted....Point ni kwamba wanaume hawajapungua wanaume tupo wengi..ila wanaume wenye quality wanazotaka wadada ni wachache..na unajua girls are too selective..
Sipo kwenye ishu za kusagana..nilikuwa napinga hoja ya kusema wanaume hawapo.
Asante,,nitasomaNimeleta data from UN zisome hapo juu
Kwenye sayansi ya kuzaana,Yaani wangeruhusu tu maana UN report on demographics ya first quarter 2021 ulikuwa hivi 7.8bill people on planet,wanawake waliokuwa 5.6billion wanaume 2.2bill,na hapo ndio Kuna wanaume wamefungwa,Kuna mashoga,Kuna maparoko,kunawagonjwa wa akili,Kuna waliooa tayari!Sasa hapo itakuwaje mtuuoe tu hata watano watano[emoji23]hao wake zenu ongeeni nao kwa herufi kubwa Kama hawataki piga talaka