Tunaelekea wapi kwa hili ongezeko la Wasagaji?

Tunaelekea wapi kwa hili ongezeko la Wasagaji?

Kuna upungufu wa jinsia me duniani
..wengine wamehamia upande wetu,wengine wapo magerezani,wengine Ni maparoko,na wengine wameshaoa ndoa ya mke mmoja....hizo ndi Sababu kubwa
Umesahau wanaouliwa na wake zao...
 
Kuna upungufu wa jinsia me duniani
..wengine wamehamia upande wetu,wengine wapo magerezani,wengine Ni maparoko,na wengine wameshaoa ndoa ya mke mmoja....hizo ndi Sababu kubwa
Hata tukiwaoa kumi kumi itasaidia
 
Utandawazi umesababisha siku hizi soda haina thamani ni hela yako tu mda wowote.
Ujana maji ya moto wakifika utu uzima huwa wanajutia Sana
 
Badala ya kuulaumu utandawazi, tungelaumiwa kwanza sis wanaume.

Huenda
Kuna mahala tumeteleza tumejisahau kutelekeza yale yatupasayo kwa ufasaha Zaid.

Kia's Cha KUACHA gepu kwa wasagaji kutake control [emoji4]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wangeruhusu tu maana UN report on demographics ya first quarter 2021 ulikuwa hivi 7.8bill people on planet,wanawake waliokuwa 5.6billion wanaume 2.2bill,na hapo ndio Kuna wanaume wamefungwa,Kuna mashoga,Kuna maparoko,kunawagonjwa wa akili,Kuna waliooa tayari!Sasa hapo itakuwaje mtuuoe tu hata watano watano😂hao wake zenu ongeeni nao kwa herufi kubwa Kama hawataki piga talaka
Naona baada ya miaka kumi ijayo mwanamke kuolewa kama mke watatu itakuwa kitu normal sana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom