SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wa enjoy.Kuna ukweli hapo,
Pia kuna wimbi kubwa la wanaume ambao hawataki kuoa.
Kina Liverpool VPN [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ilikuwa ladies' night out,,,,,Dunia inaenda Kasi sana.
Baada ya kurudi nchini, Leo nimebahatika kuja hapa Lekam Club iliyopo Maeneo ya Buguruni. Nilichojionea ni masikitiko sana Kwa maendeleo ya taifa hili na ulimwengu Kwa ujumla.
Nimejionea club nzima imekodiwa na visichana vidogo ambavyo Kwa makamo ni miaka 19 mpaka 25.
Idadi ya watu ikiwa takribani 30+ people. 98% wakiwa wanawake, Kwa mahesabu ya haraka haraka wanaume tulikuwa Kama 7 including Dj's, cha ajabu zaidi wasichana wote waliokuja club kila mtu alikuwa na msichana mwenzake au demu wake inshort.
Bila uoga wala aibu yoyote kila demu na demu mwenzake walikuwa wanabambiana, kunyonyana Ndimi nk. Mimi nikiwa mwanaume pekee ninayecheza ukumbini huku wengine wakiwa hawana kampani wamejikalia vitini tu.
Hivi Kama taifa tunaeleka wapi. Hii Hali sio nzuri kwakweli hasa ukizingatia hawa ndo tunaowatarajia kuwa mama zetu au wake zetu wa baadae na pia kukiwa na ongezeko la mashoga.
Nadhani huu utandawazi unatuharibia sana, kuna namna Kama watanzania tunabidi tujirudi, tujitafakari Kama huku ndo tunakotaka kuelekea. Sijui miaka 20 ijayo Taifa letu litakuwaje Kama haya niliyoyaona yataendelea Kwa kiasi kikubwa.
Nawasilisha. Uzi tayari.
Ni bora chadema walisema faragha ya watu kuliko CCM iliyokaa kimya ikimuogopa Boss atawanyima. Mikopo minonoHiyo ndo kila siku CHADEMA wanatuambia ni faragha za watu.
Wengine wanaiga tuTatizo hauelewi, msagaji hahisi kuwa na mwanaume, hataki na hapendi.
Yeye ni kusaga ama kusagwa na mwanamke mwenzake, hapo kuna kuzaa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu, watu wanachukua takwimu za kwenye memes wanafanya ndio takwimu halisi nchi ngumu hiiAs of 2021, There are 3,970,238,390 or 3,970 million or 3.97 billion males in the world, representing 50.42% of the world population. The population of females in the world is estimated at 3,904,727,342 or 3,905 million or 3.905 billion, representing 49.58% of the world population. The world has 65,511,048 or 65.51 million more males than females.
Labda iko kigoma.Mkuu kwan Bujumbura ipo Tanzania ?
Mbona sasa yanaendelea hadharani chini baraka za CCM? Mna uongozi hadi Shinani lakini vitu kama hivi mnajifanya hamvioni. Acheni kuangamiza Taifa.Hiyo ndo kila siku CHADEMA wanatuambia ni faragha za watu.
Wanaowatetea na kuhamasisha kwamba kuwa ni faragha wasiingiliwe ni chadema, ulitaka kiongozi wa shina wa CCM aende huko club akawaambie usagaji haufai wakati wakili wenu msomi tundu anawatetea hadharani?Mbona sasa yanaendelea hadharani chini baraka za CCM? Mna uongozi hadi Shinani lakini vitu kama hivi mnajifanya hamvioni. Acheni kuangamiza Taifa.
Wanaowatetea na kuhamasisha kwamba kuwa ni faragha wasiingiliwe ni chadema, ulitaka kiongozi wa shina wa CCM aende huko club akawaambie usagaji haufai wakati wakili wenu msomi tundu anawatetea hadharani?n
Nadhani una matatizo ya akili. Ni nani anaye-regulate maadili ya Taifa kama siyo Serikali iliyopo madarakani? Kwa hiyo Serikali ya CCM imeacha mambo yaende kienyeji kwa sababu wakili Wa CDM alishatetea hadharani?. Afterall hakuna wakili wa sheria anayetetea issues hadharani isipokuwa mahakamani tu. Wakili anatambulika mahakamani siyo mtaani. Jifunze kutenganisha scenario.Wanaowatetea na kuhamasisha kwamba kuwa ni faragha wasiingiliwe ni chadema, ulitaka kiongozi wa shina wa CCM aende huko club akawaambie usagaji haufai wakati wakili wenu msomi tundu anawatetea hadharani?
Lilongwe......kaja kwa mpaka wa Murusagamba kwa bodaboda afu anajifanya katika nje ya nchi kumbe hapo Kyela.Nchi gani umetokea halafu ukaenda club buguruni.Ukute ulikuwa hapo bujumbura ndo unasema ulikuwa nje ya nchi.
Ngumu sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu, watu wanachukua takwimu za kwenye memes wanafanya ndio takwimu halisi nchi ngumu hii