Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

Shida ni kwamba awaelewi hizo kauli za kumponda Magufuli sio vote winners; bahati ni kwamba upinzani ni weak and not trusted yet na wapiga kura kwa hivyo wana hiyo luxury ya kuropoka vibaya dhidi ya Magufuli.
Huna unalojua zaidi ya. Kubwabwaja tu aliyekudanganya Ushindi wa ccm unategemea kura za Makaratasi ni nani?

Unataka upinzani ukusaidie nini? Fanya kazi dogo siasa hazitakuletea. Pesa Mfukoni
 
Magufuli alimfundisha kuwa ukisifia Rais na ukajibizana na wapinzani wa Rais basi unatoboa. Kwa hiyo anaendelea ku practice alichojifunza
Ndicho alichofanya. Alipotupwa Benchi. Na magu akamteua tena. Siku ya kumwapisha. Alimsifia sana Mwigulu kwa kuwa na heshima kwa Mfalme
 
Mtu yeyote ambae anamchukia mtu aliekufa ni kwamba ana tatizo la afya ya akili! Ni mtu hatari sana huyo katika jamii, maana akimchukia mtu alie hai atamuua akiwa na nafasi hiyo!
Si zaid ya maslahi ya kiasia mtu kumchukia hadi marehemu, lakini mtu ambaye hana uwezo kufanya chochote kwako sioni busara ya kufanya uadui naye.
 
Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme kweli, kuna mambo mengi tu Raisi Samia anafanya vibaya kuliko alivyofanya Raisi Magufuli. Lakini hiyo sio topic ya thread hii.

Nataka niwape vitu viwili vikubwa ambavyo vinamfanya Mwigulu hadi leo hii awe na maneno hasi sana kwa Magufuli, (including negative connotations against Magufuli) na kuwa na sifa nyingi sana kwa Raisi Samia. Kwanza ni kwamba Magufuli alimwona Mwiguli kama mshindani wake mkubwa ndani ya CCM, na siku zote Magufuli alitaka kuwaweka kando washindani wake. Magufuli alimwonyesha wazi Mwigulu kwamba hawakuwa marafiki, bali fahari wawili katika zizi moja. Magufuli hakutaka kabisa Mwigulu apate mwanya wa kuonekana ni kiongozi maarufu - ku shine.

Jambo la pili lililofanya labda niseme Magufuli amchukie Mwigulu, ni siku ya tukio la jaribio la kumuua Tundu Lissu. Mara tu baada ya tukio Magufuli alimpigia simu Mwigulu, kama waziri wa mambo ya ndani, atoe tamko kwamba serikali haihusiki na jaribio lile. Mwigulu akasita. Na mbaya zaidi, Mwigulu akaomba ushauri kwa vigogo fulani wa CCM (sintawataja) na wakamshauri asitoe hilo tamko. Hili lilimfanya Magufuli akasirike na amwone Mwigulu ana kiburi, hamheshimu, na hata anadiriki kutotii amri yake kama raisi. Magufuli akawachukia na wale waliomshauri Mwigulu asitoe tamko juu ya jaribio dhidi ya Lissu.

Kwa mnaokumbuka, Magufuli alisema katika moja ya hotuba zake kuna mawaziri wanadiriki kutotii maelekezo yake. Alikuwa akimsema Mwigulu. Na nakumbuka kuna wakati Magufuli alimwondoa kabisa Mwigulu katika Baraza la Mawaziri, kitu ambacho aliona kama kudhalilishwa (naambiwa alinyang'anywa gari ya uwaziri akiwa safarini, sijui kama ni kweli)

Basi kuanzia hapo Mwigulu alikuwa hana raha chini ya uongozi wa Magufuli. Alikuwa ignored, alipuuzwa mara zote, na Magufuli alimfanya Mwigulu awepo bila kuwapo, japo baadae alirudishiwa uwaziri, na inaonekana kwa shingo upande.

Kwa hiyo Magufuli alipokufa, kwa Mwigulu, lahaula! Sintasema mengi zaidi ya kusema heshima ya Mwigulu imerudishwa na Raisi Samia. Ndio maana kila Raisi Samia analotamka au kufanya, Mwigulu atasema tumpe maua yake!!!! Yaani kwa Raisi Samia Mwigulu amezama kweli kweli, line, hook and sinker. Humwambii kitu.

Lakini sasa anapita kiasi. Lazima tumwambie Mwiguli inatosha, awe na kiasi kwa kauli hasi dhidi ya Raisi Magufuli, na kiasi katika kumpa raisi Samia maua kwa kila tamko na tendo katika wajibu wake wa kuwa Raisi wa Tanzania. Raisi Samia anafanya tu kile kilicho wajibu wake, hahitaji mapambio ya Mwigulu kwa kila kitu. It is just too embarrassing kwa watu wenye akili kuona Mwigulu anavyofanya. Undignified kwa waziri mwenye wizara nyeti kama yake.

Nipeni maua yangu kwa kuliweka hili wazi!
Sawa kabisa Mwigulu ni mnafiq mkubwa nawachukia mno watu hawa!
 
Huna unalojua zaidi ya. Kubwabwaja tu aliyekudanganya Ushindi wa ccm unategemea kura za Makaratasi ni nani?

Unataka upinzani ukusaidie nini? Fanya kazi dogo siasa hazitakuletea. Pesa Mfukoni
Akili zako zinakutosha mwenyewe umeshaona mikutano ya Lema Arusha mjini siku hizi anahutubia vijiwe vya watu wasio zidi mia.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kutegemea kundi la watu ambao kiongozi wao ana bei.

Akili za wafuasi wa CDM zinawatosha wenyewe. Lakini kwa watanzania wa leo hamtoshi kwenye uongozi, hata hamjui watanzania wanataka nini. Tip katiba sio priority yao.
 
Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme kweli, kuna mambo mengi tu Raisi Samia anafanya vibaya kuliko alivyofanya Raisi Magufuli. Lakini hiyo sio topic ya thread hii.

Nataka niwape vitu viwili vikubwa ambavyo vinamfanya Mwigulu hadi leo hii awe na maneno hasi sana kwa Magufuli, (including negative connotations against Magufuli) na kuwa na sifa nyingi sana kwa Raisi Samia. Kwanza ni kwamba Magufuli alimwona Mwiguli kama mshindani wake mkubwa ndani ya CCM, na siku zote Magufuli alitaka kuwaweka kando washindani wake. Magufuli alimwonyesha wazi Mwigulu kwamba hawakuwa marafiki, bali fahari wawili katika zizi moja. Magufuli hakutaka kabisa Mwigulu apate mwanya wa kuonekana ni kiongozi maarufu - ku shine.

Jambo la pili lililofanya labda niseme Magufuli amchukie Mwigulu, ni siku ya tukio la jaribio la kumuua Tundu Lissu. Mara tu baada ya tukio Magufuli alimpigia simu Mwigulu, kama waziri wa mambo ya ndani, atoe tamko kwamba serikali haihusiki na jaribio lile. Mwigulu akasita. Na mbaya zaidi, Mwigulu akaomba ushauri kwa vigogo fulani wa CCM (sintawataja) na wakamshauri asitoe hilo tamko. Hili lilimfanya Magufuli akasirike na amwone Mwigulu ana kiburi, hamheshimu, na hata anadiriki kutotii amri yake kama raisi. Magufuli akawachukia na wale waliomshauri Mwigulu asitoe tamko juu ya jaribio dhidi ya Lissu.

Kwa mnaokumbuka, Magufuli alisema katika moja ya hotuba zake kuna mawaziri wanadiriki kutotii maelekezo yake. Alikuwa akimsema Mwigulu. Na nakumbuka kuna wakati Magufuli alimwondoa kabisa Mwigulu katika Baraza la Mawaziri, kitu ambacho aliona kama kudhalilishwa (naambiwa alinyang'anywa gari ya uwaziri akiwa safarini, sijui kama ni kweli)

Basi kuanzia hapo Mwigulu alikuwa hana raha chini ya uongozi wa Magufuli. Alikuwa ignored, alipuuzwa mara zote, na Magufuli alimfanya Mwigulu awepo bila kuwapo, japo baadae alirudishiwa uwaziri, na inaonekana kwa shingo upande.

Kwa hiyo Magufuli alipokufa, kwa Mwigulu, lahaula! Sintasema mengi zaidi ya kusema heshima ya Mwigulu imerudishwa na Raisi Samia. Ndio maana kila Raisi Samia analotamka au kufanya, Mwigulu atasema tumpe maua yake!!!! Yaani kwa Raisi Samia Mwigulu amezama kweli kweli, line, hook and sinker. Humwambii kitu.

Lakini sasa anapita kiasi. Lazima tumwambie Mwiguli inatosha, awe na kiasi kwa kauli hasi dhidi ya Raisi Magufuli, na kiasi katika kumpa raisi Samia maua kwa kila tamko na tendo katika wajibu wake wa kuwa Raisi wa Tanzania. Raisi Samia anafanya tu kile kilicho wajibu wake, hahitaji mapambio ya Mwigulu kwa kila kitu. It is just too embarrassing kwa watu wenye akili kuona Mwigulu anavyofanya. Undignified kwa waziri mwenye wizara nyeti kama yake.

Nipeni maua yangu kwa kuliweka hili wazi!
Uongo mtupu
Chanzo kikubwa ni kuchota pesa na kuwekeza kwenye timu hilo liko wazi
 
Magufuli hakufaa kuwa raisi, lakini si ni ccm Ile Ile?? Huyu naye tuliye naye hana vision Wala mission , tunaende kwa nguvu za mola
 
Hapo namtetea mwingilu kauli yake imeonesha wazi awamu zote za utawala wa ccm mama kawazidi kwann wewe ujimejikita kwa magufuli na magufuli ni awamu ya Tano

Pili ,ulitaka mwingulu aseme sio serikali wakati alijua serikali ndo imeganya ,kingine ukumbuke wanasiasa sio maadui mwingulu anaweza akawa aliumia sana ndugu yake kutoka singida kumiminiwa risasi vile
 
Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme kweli, kuna mambo mengi tu Raisi Samia anafanya vibaya kuliko alivyofanya Raisi Magufuli. Lakini hiyo sio topic ya thread hii.

Nataka niwape vitu viwili vikubwa ambavyo vinamfanya Mwigulu hadi leo hii awe na maneno hasi sana kwa Magufuli, (including negative connotations against Magufuli) na kuwa na sifa nyingi sana kwa Raisi Samia. Kwanza ni kwamba Magufuli alimwona Mwiguli kama mshindani wake mkubwa ndani ya CCM, na siku zote Magufuli alitaka kuwaweka kando washindani wake. Magufuli alimwonyesha wazi Mwigulu kwamba hawakuwa marafiki, bali fahari wawili katika zizi moja. Magufuli hakutaka kabisa Mwigulu apate mwanya wa kuonekana ni kiongozi maarufu - ku shine.

Jambo la pili lililofanya labda niseme Magufuli amchukie Mwigulu, ni siku ya tukio la jaribio la kumuua Tundu Lissu. Mara tu baada ya tukio Magufuli alimpigia simu Mwigulu, kama waziri wa mambo ya ndani, atoe tamko kwamba serikali haihusiki na jaribio lile. Mwigulu akasita. Na mbaya zaidi, Mwigulu akaomba ushauri kwa vigogo fulani wa CCM (sintawataja) na wakamshauri asitoe hilo tamko. Hili lilimfanya Magufuli akasirike na amwone Mwigulu ana kiburi, hamheshimu, na hata anadiriki kutotii amri yake kama raisi. Magufuli akawachukia na wale waliomshauri Mwigulu asitoe tamko juu ya jaribio dhidi ya Lissu.

Kwa mnaokumbuka, Magufuli alisema katika moja ya hotuba zake kuna mawaziri wanadiriki kutotii maelekezo yake. Alikuwa akimsema Mwigulu. Na nakumbuka kuna wakati Magufuli alimwondoa kabisa Mwigulu katika Baraza la Mawaziri, kitu ambacho aliona kama kudhalilishwa (naambiwa alinyang'anywa gari ya uwaziri akiwa safarini, sijui kama ni kweli)

Basi kuanzia hapo Mwigulu alikuwa hana raha chini ya uongozi wa Magufuli. Alikuwa ignored, alipuuzwa mara zote, na Magufuli alimfanya Mwigulu awepo bila kuwapo, japo baadae alirudishiwa uwaziri, na inaonekana kwa shingo upande.

Kwa hiyo Magufuli alipokufa, kwa Mwigulu, lahaula! Sintasema mengi zaidi ya kusema heshima ya Mwigulu imerudishwa na Raisi Samia. Ndio maana kila Raisi Samia analotamka au kufanya, Mwigulu atasema tumpe maua yake!!!! Yaani kwa Raisi Samia Mwigulu amezama kweli kweli, line, hook and sinker. Humwambii kitu.

Lakini sasa anapita kiasi. Lazima tumwambie Mwiguli inatosha, awe na kiasi kwa kauli hasi dhidi ya Raisi Magufuli, na kiasi katika kumpa raisi Samia maua kwa kila tamko na tendo katika wajibu wake wa kuwa Raisi wa Tanzania. Raisi Samia anafanya tu kile kilicho wajibu wake, hahitaji mapambio ya Mwigulu kwa kila kitu. It is just too embarrassing kwa watu wenye akili kuona Mwigulu anavyofanya. Undignified kwa waziri mwenye wizara nyeti kama yake.

Nipeni maua yangu kwa kuliweka hili wazi!
Kwani ni uongo kwamba Samia ni Bora kuliko magufuli? Magufuli alikuwa anaongoza kw amibemko tu as if nchi ni Mali yake binafsi. Ona rufiji wanavyoathirika na maamuzi yake ya kiwendawazimu. Aliambiwa swala la mazingira akawaona wote hawana akili kabisa. Lile lilikuwa lishamba na lijinga. Sema ccm hawatarudia kosa kama lile tena
 
Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme kweli, kuna mambo mengi tu Raisi Samia anafanya vibaya kuliko alivyofanya Raisi Magufuli. Lakini hiyo sio topic ya thread hii.

Nataka niwape vitu viwili vikubwa ambavyo vinamfanya Mwigulu hadi leo hii awe na maneno hasi sana kwa Magufuli, (including negative connotations against Magufuli) na kuwa na sifa nyingi sana kwa Raisi Samia. Kwanza ni kwamba Magufuli alimwona Mwiguli kama mshindani wake mkubwa ndani ya CCM, na siku zote Magufuli alitaka kuwaweka kando washindani wake. Magufuli alimwonyesha wazi Mwigulu kwamba hawakuwa marafiki, bali fahari wawili katika zizi moja. Magufuli hakutaka kabisa Mwigulu apate mwanya wa kuonekana ni kiongozi maarufu - ku shine.

Jambo la pili lililofanya labda niseme Magufuli amchukie Mwigulu, ni siku ya tukio la jaribio la kumuua Tundu Lissu. Mara tu baada ya tukio Magufuli alimpigia simu Mwigulu, kama waziri wa mambo ya ndani, atoe tamko kwamba serikali haihusiki na jaribio lile. Mwigulu akasita. Na mbaya zaidi, Mwigulu akaomba ushauri kwa vigogo fulani wa CCM (sintawataja) na wakamshauri asitoe hilo tamko. Hili lilimfanya Magufuli akasirike na amwone Mwigulu ana kiburi, hamheshimu, na hata anadiriki kutotii amri yake kama raisi. Magufuli akawachukia na wale waliomshauri Mwigulu asitoe tamko juu ya jaribio dhidi ya Lissu.

Kwa mnaokumbuka, Magufuli alisema katika moja ya hotuba zake kuna mawaziri wanadiriki kutotii maelekezo yake. Alikuwa akimsema Mwigulu. Na nakumbuka kuna wakati Magufuli alimwondoa kabisa Mwigulu katika Baraza la Mawaziri, kitu ambacho aliona kama kudhalilishwa (naambiwa alinyang'anywa gari ya uwaziri akiwa safarini, sijui kama ni kweli)

Basi kuanzia hapo Mwigulu alikuwa hana raha chini ya uongozi wa Magufuli. Alikuwa ignored, alipuuzwa mara zote, na Magufuli alimfanya Mwigulu awepo bila kuwapo, japo baadae alirudishiwa uwaziri, na inaonekana kwa shingo upande.

Kwa hiyo Magufuli alipokufa, kwa Mwigulu, lahaula! Sintasema mengi zaidi ya kusema heshima ya Mwigulu imerudishwa na Raisi Samia. Ndio maana kila Raisi Samia analotamka au kufanya, Mwigulu atasema tumpe maua yake!!!! Yaani kwa Raisi Samia Mwigulu amezama kweli kweli, line, hook and sinker. Humwambii kitu.

Lakini sasa anapita kiasi. Lazima tumwambie Mwiguli inatosha, awe na kiasi kwa kauli hasi dhidi ya Raisi Magufuli, na kiasi katika kumpa raisi Samia maua kwa kila tamko na tendo katika wajibu wake wa kuwa Raisi wa Tanzania. Raisi Samia anafanya tu kile kilicho wajibu wake, hahitaji mapambio ya Mwigulu kwa kila kitu. It is just too embarrassing kwa watu wenye akili kuona Mwigulu anavyofanya. Undignified kwa waziri mwenye wizara nyeti kama yake.

Nipeni maua yangu kwa kuliweka hili wazi!
kwani shida iko wapi?? Mwigulu anayo maoni na mawazo yake ...na haimaanishi ni sahihi ila bado ni maoni na mtazamo wake..ridhika na hilo,tambua wewe una mawazo na mitazamo yako na haiko sawa na watu wote...na mtu huwezi kumzuia au kumpangia namna anavyofikiri au anavyoona.
 
Lakini pamoja na hizo stori mnazozijua nyie, ukweli ni kwamba Mama amefanya makubwa kumzidi bwana Ligacy na anachoongea Mwigulu ndio ukweli wenyewe.
 
Amefanya nini zaidi ya kuwarudisha wapinga maendeleo madarakani? Kwa miaka mitatu amekopa hela sawa na maraisi wote waliomtangulia na hamna cha maana nafanya zaidi ya kugawana na majizi wenzie. Kama hujui watu wnakulaje nchi kaa kimya usilete stori za kahawa.
 
Umeona eeh! Hayo ndio mambo yanamfanya awe na hasira sana na Magufuli. Lakini inatosha sasa, uungwana ni matendo na maneno

Na kwa nilivyomfahamu Magufuli alivyojua kuwaweka watu wanapostahili, sijui alimwapishia sehemu gani huko Chato; sebuleni, kibalazani, jikoni? Kuna picha?
Huku wajukuu wa jiwe wakichungulia tukio
 
Amefanya nini zaidi ya kuwarudisha wapinga maendeleo madarakani? Kwa miaka mitatu amekopa hela sawa na maraisi wote waliomtangulia na hamna cha maana nafanya zaidi ya kugawana na majizi wenzie. Kama hujui watu wnakulaje nchi kaa kimya usilete stori za kahawa.
-Viwanja vya 15 vinaendelea na ujenzi ujenzi
-Zaidi ya km 3700 za lami zinaendelea na Ujenzi
-Zaidi ya Vyuo Vikuu vipya 14 vinaendelea na ujenzi.
-Bandari Mpya kubwa 7 zinaendelea na Ujenzi eg kilwa,Mbamba Bay,Dar Port,Bukoba nk
-Zaidi ya shule Mpya 2700.zimejengwa na nyingine zinaendelea na Ujenzi
-Zaidi ya Vituo vya Afya 450, hospital 117 vimejengwa na vinafanya kazi n
-Ujenzi wa hospital za Rufaa Kigoma,Shinyanga,Nansio nk zinaendelea na Ujenzi
-Maelfu ya Ajira daily
-Utalii ni rekodi Juu ya rekodi
-Madini ni rekodi Juu ya rekodi
-Mapinduzi ya Kilimo,zaidi ya hectare 300 za Kilimo Cha Umwagiliaji zinaendelea na Ujenzi,hakuna njaa tena
-Zaidi ya miradi 1700 ya maji imetekelezwa na mingine inaendelea na utekelezwaji eg mradi wa Miji 28,bwawa la kidunda nk
-Amegawa viximba na Boti za Kisiasa Kwa wavuvi zaidi ya 20,000
-Hapo sijagusa majengo ya Serikali Wala miradi ya Mwendazake

Niongeze nyama?👇👇
20240407_091128.jpg
20240326_154430.jpg

My Take:Nawashauri walinda Ligacy, Badala ya kuhangaika na Mwigulu jikiteni kwenye takwimu
 
Back
Top Bottom