Wanaccm wamekaa kimya kana kwamba Polepole alikuwa kibaka.Viongozi mliofanya kazi na Polepole mmeonyesha Unafiki wa ali ya Juu sana
Huyo walimuua kwa sababu wanajua atasahaulika. Mtu unapigana samia aache uongozi uchaguzi ufanyike unategemea nini?. Angekacha chama na kueleza madudu ya chama hadi aliyoyafanya Magu. Mbona watu wangeandamana na serikali ingeogopa kumteka au kumuua. Ukiamua kujitoa muhanga jitoe muhanga kwenye vitu vya maana sio upumbavu .Tunaenda kumaliza mwezi bila kujua Polepole yuko wapi mazingira gani. Kibinadamu hili ni Jambo la ovyo sana kama nchi sio jambo la kujivunia.
Please huyu kijana kama ana makosa ni vyema alitakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria na watu waliofanya kazi na Polepole mko kimya mnajiskiaje mnatembelea V8 hamjui Polepole kama ni mzima au amekufa.
Viongozi mliofanya kazi na Polepole mmeonyesha Unafiki wa ali ya Juu sana sijawahi kuona please! Huyu kijana ni hazina kwa Taifa tunakubali kupoteza mtu kama Polepole kweli kama Taifa tu jitafakari sana
Tuna sema ubinadamu unawezaje kulala ukapata usingizi wakati unateka na kuua watu jamani kisa tu mmepishana mtazamoHuyo walimuua kwa sababu wanajua atasahaulika. Mtu unapigana samia aache uongozi uchaguzi ufanyike unategemea nini?. Angekacha chama na kueleza madudu ya chama hadi aliyoyafanya Magu. Mbona watu wangeandamana na serikali ingeogopa kumteka au kumuua. Ukiamua kujitoa muhanga jitoe muhanga kwenye vitu vya maana sio upumbavu .
Hayo mambo ya ubinadamu ndio yanaturudisha nyuma. Mtu alikuwepo madarakani kipindi lissu anapigwa risasi. Baada ya kuja na hoja ya katiba mpya. Anasema amama aachie ngazi CCM ichague mgombea tuingie kwenye Uchaguzi. Ukweli mchungu huyu jamaa ameshasahaulika.Tuna sema ubinadamu unawezaje kulala ukapata usingizi wakati unateka na kuua watu jamani kisa tu mmepishana mtazamo
Tuache mambo yake binafsi hata Wewe unayo ya kwako huyu ni binadamu kosa lake nini kama lipo kwanini hakufikishwa kwenye vyombo vya sheria?Hayo mambo ya ubinadamu ndio yanaturudisha nyuma. Mtu alikuwepo madarakani kipindi lissu anapigwa risasi. Baada ya kuja na hoja ya katiba mpya. Anasema amama aachie ngazi CCM ichague mgombea tuingie kwenye Uchaguzi. Ukweli mchungu huyu jamaa ameshasahaulika.
Kosa lake alijua mfumo unaweza kumfanyia nini. Akataka mfumo uendelee abadilike kiongozi tu. Kifo cha Polepole ni sawa na Charlie Kirk aliyesema watu kufa kwa ajili ya second amendment ya USA ni sawa. Akaja kuuliwa na kuwa statistics ya watu waliokufa kwa matumizi mabovu ya silaha. Mtu anasoma habari za Mange ndio anatuletea , halafu akifa akumbukwe π³π³π³π³. Tuweni serious wakuu hapa mpambanaji wa kukumbukwa ni TAL .Tuache mambo yake binafsi hata Wewe unayo ya kwako huyu ni binadamu kosa lake nini kama lipo kwanini hakufikishwa kwenye vyombo vya sheria?
Blaming the victim π€, watekaji na wauaji hawana makosa, akili za π©π© mnatoa wapiKosa lake alijua mfumo unaweza kumfanyia nini. Akataka mfumo uendelee abadilike kiongozi tu. Kifo cha Polepole ni sawa na Charlie Kirk aliyesema watu kufa kwa ajili ya second amendment ya USA ni sawa. Akaja kuuliwa na kuwa statistics ya watu waliokufa kwa matumizi mabovu ya silaha. Mtu anasoma habari za Mange ndio anatuletea , halafu akifa akumbukwe π³π³π³π³. Tuweni serious wakuu hapa mpambanaji wa kukumbukwa ni TAL .
Yeye sio victim maana serikali iliyopita alikuwa mtekaji. Na hajatubu dhambi maaana angeanza na kueleza walianzaje kuteka na kuuwa watu kwenye awamu ya tano. Yeye alikuwa perpetrator wa mfumo ambao leo hii umemfanya awe plaintiff.Blaming the victim π€, watekaji na wauaji hawana makosa, akili za π©π© mnatoa wapi
Unasema tuache uwoga, huku umejificha chumbani kimya. Unakuja JF kuchungulia kama kuna Breaking News.Mnataka kujua nini zaidi wakati watekaji na wauaji wanajulikana ni Bi ushungi na genge lake, watanzania tumeamua kukubali kuonewa kwa uwoga wetu na ujinga wetu, hata Lisu anapigana peke yake, tuache uwoga