CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
WATANGANYIKA AMKENI JAMANI
Ndugu yangu mimi sio CCM na sijawahi kuwa CCM. Huyu rais tuliye nae hafai kuliko hatujawahi kuwa na rais aliyefeli form four. Mimi ninasema kuwa Polepole amefia ujinga. Hotuba yake ya kwanza ni CCM ibadilishe mgombea urais waingie kwenye uchaguzi. Polepole hakuongelea suala la katiba mpya. Kwa sababu alikuwa anataka team yake ishinde uchaguzi arudi kwenye ulaji. Ukweli mchungu pole pole kafia tumbo lake. Tatizo ni mfumo tatizo sio mtu. Utekaji wa mama alianzisha Magu. Ndio maana Lissu alisema atazuia uchaguzi. Maana kwa mfumo uliopo hata tupate rais malaika tutakuwa tunazunguka tu hatupigi hatua. Polepole kashasahaulika kama mbwa koko aliyegongwa na Gari ukweli mchungu.Jamaa hivi huwa kuna mada zingine una comment kwa nguvu hivi tofauti na zinazomuhusu pole pole?
Halafu mbona huwa unaumia sana pole pole alivyomwambia mama ako hafai kugombea uraisi? Unahofia mirija yako ya uchawa kukatika sio?
Tulia ujione suala la mama ako kutoka kwenye kiti cha uraisi liko pale pale...
...yaani unavyp muandama pole pole utafikiri labda wewe ndio rostam aziz au jakakya mrisho kikwete, kumbe ni mpumbav tu mmoja unayeishi kwa kula makombo ya mafisadi.
Si wanasema yuko kwenye shimo huko kigambano au?Tunaenda kumaliza mwezi bila kujua Polepole yuko wapi mazingira gani. Kibinadamu hili ni Jambo la ovyo sana kama nchi sio jambo la kujivunia.
Please huyu kijana kama ana makosa ni vyema alitakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria na watu waliofanya kazi na Polepole mko kimya mnajiskiaje mnatembelea V8 hamjui Polepole kama ni mzima au amekufa.
Viongozi mliofanya kazi na Polepole mmeonyesha Unafiki wa ali ya Juu sana sijawahi kuona please! Huyu kijana ni hazina kwa Taifa tunakubali kupoteza mtu kama Polepole kweli kama Taifa tu jitafakari sana