sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Nani hao wangeandamana kwa ajili ya Polepole?Huyo walimuua kwa sababu wanajua atasahaulika. Mtu unapigana samia aache uongozi uchaguzi ufanyike unategemea nini?. Angekacha chama na kueleza madudu ya chama hadi aliyoyafanya Magu. Mbona watu wangeandamana na serikali ingeogopa kumteka au kumuua. Ukiamua kujitoa muhanga jitoe muhanga kwenye vitu vya maana sio upumbavu .
Hakuna mtanzania wa kuandamana kwa ajili ya mwanasiasa yoyote ndio maana Lissu na heche wananyea debe.