Tunaenda Kumaliza Mwezi bila balozi Polepole kujua Yuko Wapi? It's not Fair

Nani hao wangeandamana kwa ajili ya Polepole?

Hakuna mtanzania wa kuandamana kwa ajili ya mwanasiasa yoyote ndio maana Lissu na heche wananyea debe.
 
Yeye sio victim maana serikali iliyopita alikuwa mtekaji. Na hajatubu dhambi maaana angeanza na kueleza walianzaje kuteka na kuuwa watu kwenye awamu ya tano. Yeye alikuwa perpetrator wa mfumo ambao leo hii umemfanya awe plaintiff.
Una akili za mwanafunzi wa secondary school
 
Tuna sema ubinadamu unawezaje kulala ukapata usingizi wakati unateka na kuua watu jamani kisa tu mmepishana mtazamo
Ikitangazwa kazi za jeshi unaomba na kukesha kanisani ili upate. Je, unajua kwamba kuua na kuuawa ni sehemu ya maisha katika kazi za jeshi?
 
Hiki kiburi cha kulaumu victim unakitoa wapi?kwa sababu wewe ni perfect au una support uhuni wa genge la wauaji kama Samia, brother kuna karma na usipoangalia soon uta learn the hard way
 
Hiki kiburi cha kulaumu victim unakitoa wapi?kwa sababu wewe ni perfect au una support uhuni wa genge la wauaji kama Samia, brother kuna karma na usipoangalia soon uta learn the hard way
Pole pole sio victim maana huu mfumo wakati Tundu lissu anapigwa risasi alikuwa perpetrator. Pole pole ni kama Charlie Kirk panga alilolinoa ndio liketumika kumuua . Mimi napingana na Mama lakini mama na Magu wote hawakufaa kuwa Marais. Magu ndiye aliyeanzisha haya anayofanya mama. Kumkataa mama na kunyamazia ya magu ni kutetea tumbo na sio nchi.
 


Unajieoewa kweli wewe au 'mental'?
 
Yeye enzi zake za 'vieiti' alikuwa anafahamu mi nipo wapi?!!! Kwanini mi nifahamu alipo yeye Sasa?!!!!!
 
Jamaa hivi huwa kuna mada zingine una comment kwa nguvu hivi tofauti na zinazomuhusu pole pole?

Halafu mbona huwa unaumia sana pole pole alivyomwambia mama ako hafai kugombea uraisi? Unahofia mirija yako ya uchawa kukatika sio?

Tulia ujione suala la mama ako kutoka kwenye kiti cha uraisi liko pale pale...

...yaani unavyp muandama pole pole utafikiri labda wewe ndio rostam aziz au jakakya mrisho kikwete, kumbe ni mpumbav tu mmoja unayeishi kwa kula makombo ya mafisadi.
 
Tulipofikia kama taifa si pahala pazuri kwa kweli.
Suala la Mh. Polepole linaumiza watu wengi mno hasa wana CCM.
 
Tulipofikia kama taifa si pahala pazuri kwa kweli.
Suala la Mh. Polepole linaumiza watu wengi mno hasa wana CCM.
Mimi ni mwana CCM hili suala linaniumiza sana kosa la Polepole ni nini? Kama alikua na kosa vyombo vya sheria si vipo? Kwani wao ni wa safi?
 
Sahihi kabisa,hakuwa anapigania issues za kitaifa..alikuwa na chuki binafsi tu. Mimi binafsi siwezi kumuhurumia,hasa alivyo shiriki kuua upinzani kipindi cha Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…