Tunaenda Kumaliza Mwezi bila balozi Polepole kujua Yuko Wapi? It's not Fair

Ndugu yangu mimi sio CCM na sijawahi kuwa CCM. Huyu rais tuliye nae hafai kuliko hatujawahi kuwa na rais aliyefeli form four. Mimi ninasema kuwa Polepole amefia ujinga. Hotuba yake ya kwanza ni CCM ibadilishe mgombea urais waingie kwenye uchaguzi. Polepole hakuongelea suala la katiba mpya. Kwa sababu alikuwa anataka team yake ishinde uchaguzi arudi kwenye ulaji. Ukweli mchungu pole pole kafia tumbo lake. Tatizo ni mfumo tatizo sio mtu. Utekaji wa mama alianzisha Magu. Ndio maana Lissu alisema atazuia uchaguzi. Maana kwa mfumo uliopo hata tupate rais malaika tutakuwa tunazunguka tu hatupigi hatua. Polepole kashasahaulika kama mbwa koko aliyegongwa na Gari ukweli mchungu.
 
Si wanasema yuko kwenye shimo huko kigambano au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…