Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
- Thread starter
-
- #21
Vita mwaka wa nne sasa, mafuta ya mgawo, drones zinapiga mpaka Moscow na wameanza kurudishwa nyuma sehemu walizochukua mwanzoni, 2 months imegeuka 4 years π..time to wrap up and go home Putin kashindwa vita

Inaonekana wewe udini umekutawala sanaduh, USA aki-bomb iran anamuonea, nakumbiuka D.Trump alivyotrangaza kubomoa infrastructure yote ya islamic irani watu walishinda wakiombea dua zote na kuwa wanyonge Trump alivyositisha kupisha mazungumzo anageuka dhaifu na kwamba anamuogopa irani kashindwa vita, ndiyo mana naamini wafuasi na mashabiki wa islamic iran dont really care about iranian people ...
Mkuu yaani ni Bora uwafundishe nyani 100 watakuelewa kuliko kumuelimisha pro USA mmojaInaonekana wewe udini umekutawala sana
Sikia broo hi vita sio ya kidini bali ni vita ya kisiasa na kiuchumi
Nchi zote zilizomkaribisha USA na Israel waishambulie Irani ni nchi za kiislam
Na nchi zinazo msaidia Irani sio nchi za kiislam
Yani Kila Mmoja anachagua upande kulingana na malengo yake ya kisiasa na kiuchumi
Kwahiyo hizo chuki zako za kidini ulizopandikizwa katika hi vita sio mahala pake
Pia nakukumbusha katika mashambulizi ya mwisho ya USA ya hizi wiki 2 alikuwa analipua
Madaraja
Reli
Mitambo ya umeme
Mitambo ya maji safi
Katika Sheria za kivita hilo ni kosa japokuwa wewe Kwa sababu ni msukule wa USA unaona sawa
Una taarifa kuwa Ukraine imepoteza Donbass yoteVita mwaka wa nne sasa, mafuta ya mgawo, drones zinapiga mpaka Moscow na wameanza kurudishwa nyuma sehemu walizochukua mwanzoni, 2 months imegeuka 4 years π..time to wrap up and go home Putin kashindwa vita
Subiri matokeo ya kikao cha Trump na netanyauNadhani Washauri wa Trump hawakufanya Tathmini ya kutosha kuingia vitani na Iran.
Vita vilipochanganya na Marekani alipoanza kupoteza akaenda Kumuomba RAIS wa china asimuizie silaha Iran,Xi akamuhakikishia hata muuzia.
Akamlaumu Putin kua aache kumsaidia Iran,Putin akasema hatomsaidia.
Hivi ninavyoandika china inapeleka Manpad ADS takriban 400 hivi.
Hizi mambo ni silaha za kudungua ndege ambazo hubebwa begani na mtu mmoja TU.
Sasa wanawauzia silaha mia nne Wairan.
Wakati huo huo China na Urusi Kwa wakati wake wanaipa Iran silaha nyingine kwa Siri na taarifa za kiintelijensia kutokana na satellite zao kuona mienendo ya majeshi ya Marekani hapo Ghuba ya uajemi.
Faida ya taarifa hizo ndio hiyo juzi Marekani imeendelea kupofushwa,kudhoofiishwa na kulemazwa,baada ya Iran kupiga rada,mawasiliano,karakana za kukarabati ndege,meli na mahala pa kukusanyikia wanajeshi kwa ajili ya kufanya mashambulizi.
Kambi hizo zilipigwa kwa lengo la ku Pre emptive.
Maana mara zote Iran hua inajibu baada ya kushambulia,lkn safari hiyo Iran ndio walianza kushambulia.
Urusi na china wanamhakikishia Marekani kua hawamaaidii Iran,lkn nyuma wanampa zana.
Lengo ni kuhakikisha Marekani anatoka kwenye uwanja wa vita akiwa Hana mguu mmoja na jicho moja
==========
The national flags of China and Iran fly in Tiananmen Square, China, February 14, 2023. REUTERS/Thomas Peter/File Photo Purchase Licensing Rights, opens new tab
July 29 (Reuters) - Iran is expected to receive within weeks a first shipment out of up to 400 Chinese-made shoulder-fired air-defence missile launchers, three sources familiar with the deal told Reuters, as it rebuilds its defences amid war with the United States.
- Summary
- Contract covers 300 to 400 QW-12 and FN-16 MANPADS, sources say
- Deal valued at $60 million to $70 million, sources say
- China says report is groundless, Pakistan denies involvement in transfers
The purchase, valued at $60-70 million, is one of Tehran's largest-known efforts to strengthen its short-range air defences since the outbreak βof its war with the U.S. and Israel, which exposed gaps in Iran's ability to protect military sites and strategic infrastructure.
Learn more aboutRefinitiv
My News
EXCLUSIVE
Iran to get Chinese shoulder-launched missile systems in weeks, sources say
By John Irish and Jonathan Saul
July 29, 20266:04 AM GMT+3Updated July 30, 2026

How Chinese tech and Russian tactics are aiding Iranβs bombing of US bases
Dan Sabbagh Defence and security editor
Increasingly accurate and lethal attacks are revealing weaknesses in stretched defences across the Gulf
Fri 24 Jul 2026 18.13 BST
Share
As the crisis in the Middle East escalates, Iran has been bombing US bases and critical infrastructure in the Gulf with increasing accuracy, helped by Chinese satellite imagery and tactics learned by Russia in Ukraine.
Three US soldiers were killed last Friday in an attack on the Muwaffaq Salti airbase in Jordan, which was being protected by a Thaad air defence system. Satellite imagery later released by Iranian media showed several buildings had been destroyed.
It is not clear why the air defence system failed in that incident, which is under Pentagon investigation, but it is a reminder that Iran retains an effective missile capability that its new leadership is willing to
ππWazichape haswa bei ya mafuta ifike buku 15k wote tupande daladala.
Na wakala Kona ππLabda hujui Talaban ni akina nani.
Talabani ni kikundi Cha wanamgambo kulikua kinaongozwa na Mullar Omar Mohamed,hiki hakikua Jeshi kamili la Afghanistan.
Hakikua na msaada kutoka nchi yoyote,hakikua na Navy wala Air force.
Hata Jeshi lake la miguu halikua na mizinga wala vifaru,wala radar,Bali AK47 na Manpad za kuungaunga.
Walienda 20 yrs na Mzeebaba.
The United States fought the Taliban in Afghanistan alongside the Northern Alliance, NATO, and a broad international coalition. [1, 2, 3]
Local and Domestic Partners
International and NATO Coalition Partners
ππ€£π€£ Kuna watu halafu Kuna waajemi waajemi sio watuYaani hapa USA kanaswa kwelikweli,alianza mashambulizi ya kushtukiza,kakuta watuwapo fiti.
Kaanza staili ya ceasefire feki akirudi bado pagumu.
Akajidai kukubaliana kumaliza vita ili mwenzake ajiziuke ye apige aliporudi bado watu wamemganda kama ruba vile.
Waajemi nuksi kwelikweli
Trump kama Kuna maamuzi anayajutia basi ni ya kuivamia iranππ€£π€£ Kuna watu halafu Kuna waajemi waajemi sio watu
Na sio TU kula Kona peke yake,Bali wakala Kona Kali na kuacha lundo la silaha ambazo hata Nchi kama Misri hawana.Na wakala Kona ππ
ππππππππ€£π€£ Kuna watu halafu Kuna waajemi waajemi sio watu
Hizi ni akili za kikobazi.Nadhani Washauri wa Trump hawakufanya Tathmini ya kutosha kuingia vitani na Iran.
Vita vilipochanganya na Marekani alipoanza kupoteza akaenda Kumuomba RAIS wa china asimuizie silaha Iran,Xi akamuhakikishia hata muuzia.
Akamlaumu Putin kua aache kumsaidia Iran,Putin akasema hatomsaidia.
Hivi ninavyoandika china inapeleka Manpad ADS takriban 400 hivi.
Hizi mambo ni silaha za kudungua ndege ambazo hubebwa begani na mtu mmoja TU.
Sasa wanawauzia silaha mia nne Wairan.
Wakati huo huo China na Urusi Kwa wakati wake wanaipa Iran silaha nyingine kwa Siri na taarifa za kiintelijensia kutokana na satellite zao kuona mienendo ya majeshi ya Marekani hapo Ghuba ya uajemi.
Faida ya taarifa hizo ndio hiyo juzi Marekani imeendelea kupofushwa,kudhoofiishwa na kulemazwa,baada ya Iran kupiga rada,mawasiliano,karakana za kukarabati ndege,meli na mahala pa kukusanyikia wanajeshi kwa ajili ya kufanya mashambulizi.
Kambi hizo zilipigwa kwa lengo la ku Pre emptive.
Maana mara zote Iran hua inajibu baada ya kushambulia,lkn safari hiyo Iran ndio walianza kushambulia.
Urusi na china wanamhakikishia Marekani kua hawamaaidii Iran,lkn nyuma wanampa zana.
Lengo ni kuhakikisha Marekani anatoka kwenye uwanja wa vita akiwa Hana mguu mmoja na jicho moja
==========
The national flags of China and Iran fly in Tiananmen Square, China, February 14, 2023. REUTERS/Thomas Peter/File Photo Purchase Licensing Rights, opens new tab
July 29 (Reuters) - Iran is expected to receive within weeks a first shipment out of up to 400 Chinese-made shoulder-fired air-defence missile launchers, three sources familiar with the deal told Reuters, as it rebuilds its defences amid war with the United States.
- Summary
- Contract covers 300 to 400 QW-12 and FN-16 MANPADS, sources say
- Deal valued at $60 million to $70 million, sources say
- China says report is groundless, Pakistan denies involvement in transfers
The purchase, valued at $60-70 million, is one of Tehran's largest-known efforts to strengthen its short-range air defences since the outbreak βof its war with the U.S. and Israel, which exposed gaps in Iran's ability to protect military sites and strategic infrastructure.
Learn more aboutRefinitiv
My News
EXCLUSIVE
Iran to get Chinese shoulder-launched missile systems in weeks, sources say
By John Irish and Jonathan Saul
July 29, 20266:04 AM GMT+3Updated July 30, 2026
The national flags of China and Iran fly in Tiananmen Square, China, February 14, 2023. REUTERS/Thomas Peter/File Photo Purchase Licensing Rights, opens new tab
July 29 (Reuters) - Iran is expected to receive within weeks a first shipment out of up to 400 Chinese-made shoulder-fired air-defence missile launchers, three sources familiar with the deal told Reuters, as it rebuilds its defences amid war with the United States.
- Summary
- Contract covers 300 to 400 QW-12 and FN-16 MANPADS, sources say
- Deal valued at $60 million to $70 million, sources say
- China says report is groundless, Pakistan denies involvement in transfers
The purchase, valued at $60-70 million, is one of Tehran's largest-known efforts to strengthen its short-range air defences since the outbreak βof its war with the U.S. and Israel, which exposed gaps in Iran's ability to protect military sites and strategic infrastructure.
How Chinese tech and Russian tactics are aiding Iranβs bombing of US bases
Dan Sabbagh Defence and security editor
Increasingly accurate and lethal attacks are revealing weaknesses in stretched defences across the Gulf
Fri 24 Jul 2026 18.13 BST
Share
As the crisis in the Middle East escalates, Iran has been bombing US bases and critical infrastructure in the Gulf with increasing accuracy, helped by Chinese satellite imagery and tactics learned by Russia in Ukraine.
Three US soldiers were killed last Friday in an attack on the Muwaffaq Salti airbase in Jordan, which was being protected by a Thaad air defence system. Satellite imagery later released by Iranian media showed several buildings had been destroyed.
It is not clear why the air defence system failed in that incident, which is under Pentagon investigation, but it is a reminder that Iran retains an effective missile capability that its new leadership is willing to
Miundo mbinu itajengwa upya hata wakati wa iran iraq war zilitokea casualties zaidi ya hiziCasualties ni nyingi kwa Iran hasa kwa upande wa raia wake, infrastructure ziko dhoofu, hata kama marekani atashindwa hii vita kwa base zake na meli zake na ndege zake kudunguliwa, bado iran itakuwa na miaka mingi ya kurekebisha uharibifu wa vita hivi, ukizingatia vita hii imepiganiwa zaidi pale middle east na iran mabomu yamemfwata barazani kwake, ingekuwa vyema kama wangekuwa na uwezo wa kutuma makombora pale pentagon na Washington, hii vita imeondoka na viongozi wengi wa kiserikali wa iran
We nawe kama zwazwa Kila siku USA c ndio inaanza mashambulizi yenyewe ? Asa Iran kuanza cku moja tuh unamuona mchokozi ..ulitaka Kila cku asubirie kupigwa ndio apigweduh, USA aki-bomb iran anamuonea, nakumbiuka D.Trump alivyotrangaza kubomoa infrastructure yote ya islamic irani watu walishinda wakiombea dua zote na kuwa wanyonge Trump alivyositisha kupisha mazungumzo anageuka dhaifu na kwamba anamuogopa irani kashindwa vita, ndiyo mana naamini wafuasi na mashabiki wa islamic iran dont really care about iranian people ...
Ukiwa mjinga utaona Kila mtu anaeandika ukweli mchungu dhidi ya Marekani ni kobazi.Hizi ni akili za kikobazi.