Tunaenda kushuhudia Marekani inashindwa vita na Iran. Wachina na Warusi ni wahuni sana

Ukiwa mjinga utaona Kila mtu anaeandika ukweli mchungu dhidi ya Marekani ni kobazi.
Na mjinga maana yake kichwani hamna kitu.
Umeshindwa hata kusoma nukuu za Vyombo vya habari nilivyokuwekea hapo?
Hamna matumaini kabisa juu Yako.
Mkuu wapi nimesema kila anayempinga Marekani ni kobazi? Wewe umeleta tu habari na wala hujasema kama unampinga Mmarekani au lah. Ila reading between the lines nkajua kuwa wewe ni Kobazi. Na ukobazi siyo tusi. Mimi Rc, ukiniita mvaa msalaba sawa kwa sababu tunavaa. Sasa mnavaa kobazi mkiitwa hivyo mnakasirika
 
Nadhani Washauri wa Trump hawakufanya Tathmini ya kutosha kuingia vitani na Iran.

Vita vilipochanganya na Marekani alipoanza kupoteza akaenda Kumuomba RAIS wa china asimuizie silaha Iran,Xi akamuhakikishia hata muuzia.
Akamlaumu Putin kua aache kumsaidia Iran,Putin akasema hatomsaidia.

Hivi ninavyoandika china inapeleka Manpad ADS takriban 400 hivi.

Hizi mambo ni silaha za kudungua ndege ambazo hubebwa begani na mtu mmoja TU.
Sasa wanawauzia silaha mia nne Wairan.

Wakati huo huo China na Urusi Kwa wakati wake wanaipa Iran silaha nyingine kwa Siri na taarifa za kiintelijensia kutokana na satellite zao kuona mienendo ya majeshi ya Marekani hapo Ghuba ya uajemi.

Faida ya taarifa hizo ndio hiyo juzi Marekani imeendelea kupofushwa,kudhoofiishwa na kulemazwa,baada ya Iran kupiga rada,mawasiliano,karakana za kukarabati ndege,meli na mahala pa kukusanyikia wanajeshi kwa ajili ya kufanya mashambulizi.
Kambi hizo zilipigwa kwa lengo la ku Pre emptive.

Maana mara zote Iran hua inajibu baada ya kushambulia,lkn safari hiyo Iran ndio walianza kushambulia.

Urusi na china wanamhakikishia Marekani kua hawamaaidii Iran,lkn nyuma wanampa zana.
Lengo ni kuhakikisha Marekani anatoka kwenye uwanja wa vita akiwa Hana mguu mmoja na jicho moja
==========
Flags of China and Iran fly in Tiananmen Square

The national flags of China and Iran fly in Tiananmen Square, China, February 14, 2023. REUTERS/Thomas Peter/File Photo Purchase Licensing Rights, opens new tab
  • Summary
  • Contract covers 300 to 400 QW-12 and FN-16 MANPADS, sources say
  • Deal valued at $60 million to $70 million, sources say
  • China says report is groundless, Pakistan denies involvement in transfers
July 29 (Reuters) - Iran is expected to receive within weeks a first shipment out of up to 400 Chinese-made shoulder-fired air-defence missile launchers, three sources familiar with the deal told Reuters, as it rebuilds its defences amid war with the United States.
The purchase, valued at $60-70 million, is one of Tehran's largest-known efforts to strengthen its short-range air defences since the outbreak ‌of its war with the U.S. and Israel, which exposed gaps in Iran's ability to protect military sites and strategic infrastructure.
Learn more aboutRefinitiv
My News
EXCLUSIVE

Iran to get Chinese shoulder-launched missile systems in weeks, sources say​

By John Irish and Jonathan Saul
July 29, 20266:04 AM GMT+3Updated July 30, 2026

How Chinese tech and Russian tactics are aiding Iran’s bombing of US bases​

Dan Sabbagh Defence and security editor
Increasingly accurate and lethal attacks are revealing weaknesses in stretched defences across the Gulf

Fri 24 Jul 2026 18.13 BST
Share

As the crisis in the Middle East escalates, Iran has been bombing US bases and critical infrastructure in the Gulf with increasing accuracy, helped by Chinese satellite imagery and tactics learned by Russia in Ukraine.

Three US soldiers were killed last Friday in an attack on the Muwaffaq Salti airbase in Jordan, which was being protected by a Thaad air defence system. Satellite imagery later released by Iranian media showed several buildings had been destroyed.

It is not clear why the air defence system failed in that incident, which is under Pentagon investigation, but it is a reminder that Iran retains an effective missile capability that its new leadership is willing to
Marekani ina wakati mgumu kutimiza malengo yake huko Iran.

Strategic defeat okay.... but not military defeat.
 
Urusi kushambuliwa Hadi ndani ya Moscow ndio vita yenyewe.
Vita maana yake ni piga nikupige.
Ingekua inapigwa Ukraine peke yake hiyo isingekua vita,ingekua Ukraine inashambuliwa na Urusi.
Kuhusu hoja ya miaka minne sio hoja,maana hata Marekani na wasshiraka wake walipigana kwa miaka 20 na wataliban.
Kwa kifupi Urusi bado anaendelea kuchukua maeneo ya Ukraine.
Watakapoyakomboa ndio tutajua Urusi kashindwa vita na Ukraine.

The United States fought a 20-year war in Afghanistan from October 7, 2001, to August 30, 2021, making it the longest military conflict in U.S. history. The war began following the September 11 terrorist attacks with the goal of dismantling al-Qaeda and removing the Taliban from power. [1, 2, 3, 4]
akumbuke pia US alisema ataipiga iran for 3 days na kuuangusha utawala wa IRAN. Mpaka leo .....hola.
Vita ni vita mura never underestimate your enemy
 
Nadhani Washauri wa Trump hawakufanya Tathmini ya kutosha kuingia vitani na Iran.

Vita vilipochanganya na Marekani alipoanza kupoteza akaenda Kumuomba RAIS wa china asimuizie silaha Iran,Xi akamuhakikishia hata muuzia.
Akamlaumu Putin kua aache kumsaidia Iran,Putin akasema hatomsaidia.

Hivi ninavyoandika china inapeleka Manpad ADS takriban 400 hivi.

Hizi mambo ni silaha za kudungua ndege ambazo hubebwa begani na mtu mmoja TU.
Sasa wanawauzia silaha mia nne Wairan.

Wakati huo huo China na Urusi Kwa wakati wake wanaipa Iran silaha nyingine kwa Siri na taarifa za kiintelijensia kutokana na satellite zao kuona mienendo ya majeshi ya Marekani hapo Ghuba ya uajemi.

Faida ya taarifa hizo ndio hiyo juzi Marekani imeendelea kupofushwa,kudhoofiishwa na kulemazwa,baada ya Iran kupiga rada,mawasiliano,karakana za kukarabati ndege,meli na mahala pa kukusanyikia wanajeshi kwa ajili ya kufanya mashambulizi.
Kambi hizo zilipigwa kwa lengo la ku Pre emptive.

Maana mara zote Iran hua inajibu baada ya kushambulia,lkn safari hiyo Iran ndio walianza kushambulia.

Urusi na china wanamhakikishia Marekani kua hawamaaidii Iran,lkn nyuma wanampa zana.
Lengo ni kuhakikisha Marekani anatoka kwenye uwanja wa vita akiwa Hana mguu mmoja na jicho moja
==========
Flags of China and Iran fly in Tiananmen Square

The national flags of China and Iran fly in Tiananmen Square, China, February 14, 2023. REUTERS/Thomas Peter/File Photo Purchase Licensing Rights, opens new tab
  • Summary
  • Contract covers 300 to 400 QW-12 and FN-16 MANPADS, sources say
  • Deal valued at $60 million to $70 million, sources say
  • China says report is groundless, Pakistan denies involvement in transfers
July 29 (Reuters) - Iran is expected to receive within weeks a first shipment out of up to 400 Chinese-made shoulder-fired air-defence missile launchers, three sources familiar with the deal told Reuters, as it rebuilds its defences amid war with the United States.
The purchase, valued at $60-70 million, is one of Tehran's largest-known efforts to strengthen its short-range air defences since the outbreak ‌of its war with the U.S. and Israel, which exposed gaps in Iran's ability to protect military sites and strategic infrastructure.
Learn more aboutRefinitiv
My News
EXCLUSIVE

Iran to get Chinese shoulder-launched missile systems in weeks, sources say​

By John Irish and Jonathan Saul
July 29, 20266:04 AM GMT+3Updated July 30, 2026
Flags of China and Iran fly in Tiananmen Square

The national flags of China and Iran fly in Tiananmen Square, China, February 14, 2023. REUTERS/Thomas Peter/File Photo Purchase Licensing Rights, opens new tab

  • Summary
  • Contract covers 300 to 400 QW-12 and FN-16 MANPADS, sources say
  • Deal valued at $60 million to $70 million, sources say
  • China says report is groundless, Pakistan denies involvement in transfers
July 29 (Reuters) - Iran is expected to receive within weeks a first shipment out of up to 400 Chinese-made shoulder-fired air-defence missile launchers, three sources familiar with the deal told Reuters, as it rebuilds its defences amid war with the United States.
The purchase, valued at $60-70 million, is one of Tehran's largest-known efforts to strengthen its short-range air defences since the outbreak ‌of its war with the U.S. and Israel, which exposed gaps in Iran's ability to protect military sites and strategic infrastructure.

How Chinese tech and Russian tactics are aiding Iran’s bombing of US bases​

Dan Sabbagh Defence and security editor
Increasingly accurate and lethal attacks are revealing weaknesses in stretched defences across the Gulf

Fri 24 Jul 2026 18.13 BST
Share

As the crisis in the Middle East escalates, Iran has been bombing US bases and critical infrastructure in the Gulf with increasing accuracy, helped by Chinese satellite imagery and tactics learned by Russia in Ukraine.

Three US soldiers were killed last Friday in an attack on the Muwaffaq Salti airbase in Jordan, which was being protected by a Thaad air defence system. Satellite imagery later released by Iranian media showed several buildings had been destroyed.

It is not clear why the air defence system failed in that incident, which is under Pentagon investigation, but it is a reminder that Iran retains an effective missile capability that its new leadership is willing to
Wewe indelea kujidanganya tu! Utawala wa Kihafidhina wa Kiislamu wa Iran kwa sasa umekalia kuti bovu. Kinacho washupaiza shingo zao ni ile Imani yao kuwa MAHHADI hawezi kutokea kuleta mwisho wa Dunia mpaka Waislamu waianzishe vita itakayo sambaa mpaka Jiji la Jerusalem; lakini zaidi ya hapo utawala wao haumalizi huu mwaka.
 
Sawa Turampet wa jf
Sio mwaka hata huu mwezi haumalizi
 
Wazichape haswa bei ya mafuta ifike buku 15k wote tupande daladala.
Jamaa alichora mstari kwa kutumia mkaa sakafuni. Akamuuliza mwenzake anawexa kufanyaje mstari aliochora uwe mfupi. Mwenzake akawaza kidogo kisha akamueleza, unaupunguza kwa kufuta tu huku akifuta kuonyesha namna ya kuupunguza urefu.

Jamaa akamueleza mwenzake, kwa nini hukuona umuhimu wa kuchora karibu na mstari wangu mstari wako mrefu zaidi kushinda wa kwangu ili wa kwangu uonekane mfupi!

Kisa hiki kwa muji wa jamaa huko tiktok(Nadhani anatoka nyanda za juu kusini mwa Tanzania)
====
David umefuta mstari wa Jamaa.
 
duh, USA aki-bomb iran anamuonea, nakumbiuka D.Trump alivyotrangaza kubomoa infrastructure yote ya islamic irani watu walishinda wakiombea dua zote na kuwa wanyonge Trump alivyositisha kupisha mazungumzo anageuka dhaifu na kwamba anamuogopa irani kashindwa vita, ndiyo mana naamini wafuasi na mashabiki wa islamic iran dont really care about iranian people ...
Iran kichapo kakipata na si ajab akapewa doze nyingine kubwa na hii ni window of opportunity kwa born again christians wa undergroun churches kuchapa injili kwa uhuru hata kama ni kidogo saaana ili wairan kibao wapate neema ya kufikiwa na neema ya wokovu. Maana saa yaja ambayo itakuwa ni kwa mateso makali mno na dhiki kuu Yesu atakuwa anahubiriwa.
 
Akichapwa yeye Marekani napo ndipo Marekani inaenda kuwa ya kislam au sijakuelewa🦘
 
Casualties ni nyingi kwa Iran hasa kwa upande wa raia wake, infrastructure ziko dhoofu, hata kama marekani atashindwa hii vita kwa base zake na meli zake na ndege zake kudunguliwa, bado iran itakuwa na miaka mingi ya kurekebisha uharibifu wa vita hivi, ukizingatia vita hii imepiganiwa zaidi pale middle east na iran mabomu yamemfwata barazani kwake, ingekuwa vyema kama wangekuwa na uwezo wa kutuma makombora pale pentagon na Washington, hii vita imeondoka na viongozi wengi wa kiserikali wa iran
Miaka mingi kurekebisha uharibifu umeambiwa tupo zama za mawe kwani

Dunia ya leo unabomoa daraja wiki tu linajengwa temporary na watu na magari yao wanapita sembuse izo infrastructure unazozisema

Nakukumbusha tu dunia ya leo china alijenga hosp kwa siku 100 mchawi pesa tu dunia ya leo
 
Back
Top Bottom