Tunaenda kushuhudia Marekani inashindwa vita na Iran. Wachina na Warusi ni wahuni sana

Ukiwa mjinga utaona Kila mtu anaeandika ukweli mchungu dhidi ya Marekani ni kobazi.
Na mjinga maana yake kichwani hamna kitu.
Umeshindwa hata kusoma nukuu za Vyombo vya habari nilivyokuwekea hapo?
Hamna matumaini kabisa juu Yako.
Mkuu wapi nimesema kila anayempinga Marekani ni kobazi? Wewe umeleta tu habari na wala hujasema kama unampinga Mmarekani au lah. Ila reading between the lines nkajua kuwa wewe ni Kobazi. Na ukobazi siyo tusi. Mimi Rc, ukiniita mvaa msalaba sawa kwa sababu tunavaa. Sasa mnavaa kobazi mkiitwa hivyo mnakasirika
 
Marekani ina wakati mgumu kutimiza malengo yake huko Iran.

Strategic defeat okay.... but not military defeat.
 
akumbuke pia US alisema ataipiga iran for 3 days na kuuangusha utawala wa IRAN. Mpaka leo .....hola.
Vita ni vita mura never underestimate your enemy
 
Wewe indelea kujidanganya tu! Utawala wa Kihafidhina wa Kiislamu wa Iran kwa sasa umekalia kuti bovu. Kinacho washupaiza shingo zao ni ile Imani yao kuwa MAHHADI hawezi kutokea kuleta mwisho wa Dunia mpaka Waislamu waianzishe vita itakayo sambaa mpaka Jiji la Jerusalem; lakini zaidi ya hapo utawala wao haumalizi huu mwaka.
 
Sawa Turampet wa jf
Sio mwaka hata huu mwezi haumalizi
 
Wazichape haswa bei ya mafuta ifike buku 15k wote tupande daladala.
Jamaa alichora mstari kwa kutumia mkaa sakafuni. Akamuuliza mwenzake anawexa kufanyaje mstari aliochora uwe mfupi. Mwenzake akawaza kidogo kisha akamueleza, unaupunguza kwa kufuta tu huku akifuta kuonyesha namna ya kuupunguza urefu.

Jamaa akamueleza mwenzake, kwa nini hukuona umuhimu wa kuchora karibu na mstari wangu mstari wako mrefu zaidi kushinda wa kwangu ili wa kwangu uonekane mfupi!

Kisa hiki kwa muji wa jamaa huko tiktok(Nadhani anatoka nyanda za juu kusini mwa Tanzania)
====
David umefuta mstari wa Jamaa.
 
Iran kichapo kakipata na si ajab akapewa doze nyingine kubwa na hii ni window of opportunity kwa born again christians wa undergroun churches kuchapa injili kwa uhuru hata kama ni kidogo saaana ili wairan kibao wapate neema ya kufikiwa na neema ya wokovu. Maana saa yaja ambayo itakuwa ni kwa mateso makali mno na dhiki kuu Yesu atakuwa anahubiriwa.
 

Akichapwa yeye Marekani napo ndipo Marekani inaenda kuwa ya kislam au sijakuelewa🦘
 
Miaka mingi kurekebisha uharibifu umeambiwa tupo zama za mawe kwani

Dunia ya leo unabomoa daraja wiki tu linajengwa temporary na watu na magari yao wanapita sembuse izo infrastructure unazozisema

Nakukumbusha tu dunia ya leo china alijenga hosp kwa siku 100 mchawi pesa tu dunia ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…