Mkuu unaelewa maana ya udhamininwa ligi na udhamini wa timu lakini?Team Viewer, baada ya kupata dili la udhamini wa jezi za Man United, imembidi abadili rangi ya logo (kwenye jezi za Man United) ili ziendane na rangi za timu ya Manchester United.
Linapofika suala la yanga hata Kama n profesa n shabik wa yanga akili za kufkir huwa ndogo sisi yanga tunazidiwa hata na CCM kufikir
Na tido mhando kasema hawataki tena kuona ratiba inachezewa
Viongozi wa Simba SC wanajitambua. Kwa vile Logo ya Mdhamini haiondoi uhalisia wa timu husika.Logo ya Caf ina unjano na kijani lakini Simba wala hawana mpango, ipo kwenye uzi mwekundu kiroho safi.