OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
wewe unaona ni akili hiyo? sema kwa kutumia akili timamuHakuna cha Tff wala mdhamini aliyepo au atakaye kuja katika mpira wa nchi hii atakaye jaribu kuwalazimisha Yanga kuvaa logo yenye rangi nyekundu.
Apo nyuma Vodacom na Tff walishawahi kujaribu ila alishindwa.