That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Njoo na hapa KaruceeHongera mkuu gari nzuri, ila kila nikiona xtrail damu inasisimka hakuna gari ilinitesa kama hiyo...dalali George ulieniuzia ile gari Mungu akulaani, gari ile ilichangia sana kuniingiza kwenye lindi la umaskini...nilionywa sana kwamba xtrail ni mbovu sikusikia....kila la kheri mnunuzi.
Dah! Umeamua kukitia mchanga kitumbua cha watu!! 🤭Hongera mkuu gari nzuri, ila kila nikiona xtrail damu inasisimka hakuna gari ilinitesa kama hiyo...dalali George ulieniuzia ile gari Mungu akulaani, gari ile ilichangia sana kuniingiza kwenye lindi la umaskini...nilionywa sana kwamba xtrail ni mbovu sikusikia....kila la kheri mnunuzi.
Duh!! Mbona yamejaa barabarani? Isije ikawa mlishindwa kwenye matunzo! Maana hata mwanamke usipotunzwa, utakongoroka na kuonekana mzee!!Xtrail ni mbovu kabisa.
Hutacheza mbali na Gereji.
Nataka nikuchukulie...Xtrail ni mbovu kabisa.
Hutacheza mbali na Gereji.
Ndugu, mzigo umeuelewa uchukue uweke ndani.Duh!! Mbona yamejaa barabarani? Isije ikawa mlishindwa kwenye matunzo! Maana hata mwanamke usipotunzwa, utakongoroka na kuonekana mzee!!
Pole Mkuu.Hongera mkuu gari nzuri, ila kila nikiona xtrail damu inasisimka hakuna gari ilinitesa kama hiyo...dalali George ulieniuzia ile gari Mungu akulaani, gari ile ilichangia sana kuniingiza kwenye lindi la umaskini...nilionywa sana kwamba xtrail ni mbovu sikusikia....kila la kheri mnunuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wife haya mambo umeyajulia wapi?? 😀😀Xtrail kuanzia mfumo Umeme wake mpaka gearbox ni pasua kichwa.
hata system zake za kupooza engine ni mtihani. Lol
Nimekulia garage baby wake mie.Wife haya mambo umeyajulia wapi?? 😀😀
Utunzaji wake unataka umakini mkubwa kitu ambacho wengi hawakiweziDuh!! Mbona yamejaa barabarani? Isije ikawa mlishindwa kwenye matunzo! Maana hata mwanamke usipotunzwa, utakongoroka na kuonekana mzee!!
Nakushauri punguza bei hizo gari zinakimbiwa sana bongoNISSAN X-TRAIL (DNH)
Year 2008/09
Cc 1990
Kms 80,000
Forg Lights
Leather Seats
New Tires
Music Radio/
Cd/Bluetooth/Flash
Full Documents (File)
Fuel Petrol
Transmission Auto
Imported From Japan
Spare Tire
Gari imetunzwa vizuri
Price 15.5 mln
Call/whatsapp-0672697409
View attachment 1767384
Nitakuja PM, si unajua tena mimi na wewe stori haziishi...Nimekulia garage baby wake mie.
Nimelelewa na single Dad ambae ni Mechanic.
Somewhere utapata tu sredi twangu back then when I was wild.🤣
Je, unaona kama ninavyo ona mimi? 🤩Nitakuja PM, si unajua tena mimi na wewe stori haziishi...
hapa penyewe nilitaka nimwagike ila nikaona siyo vyema.
Kwani wewe unaona nini Bwana Tate Mkuu?🤣Je, unaona kama ninavyo ona mimi? 🤩
In Baraka Mpenja's voice!!