Hassan Loloo
Member
- Nov 25, 2013
- 35
- 17
- Thread starter
-
- #61
YesToyota Noah #DMB
Price/bei mil 13.2
Tsh 13,200,000neg.
Clean conditions
Model sr 50
4wd
Cc 1990
Call/whatsapp 0672697409
View attachment 1770803View attachment 1770808View attachment 1770807View attachment 1770804View attachment 1770805View attachment 1770806View attachment 1770809
View attachment 1770810
Hahahaha umenifurahisha, kuna mjomba wangu aliniazima na xtrail yake wakati nimemrudushia alieniuzia xtrail yake, uncle alikua anaisifia kwamba gari yake yeye ni mzima siku ameniazima nilichoka, nimkweli gari ilikua na uwezo wa kwenda mbele ila huo mlio wa engine sasa na hapo kwenye dashboard ni kama umewasha mtu xmass....wanaosifia hizi gari ni madalali ndio watakaokuletea habari za kuzingatia service....mimi ni mtu wa kutunza sana gari yangu ila xtrail ilinishindaNdugu, mzigo umeuelewa uchukue uweke ndani.
Xtrail kuanzia mfumo Umeme wake mpaka gearbox ni pasua kichwa.
Wachunguze wanaoendesha. Wanafuraha kweli?
Sijaonaga mwenye xtrail akitabasamu njiani. Wote wanakuwaga na sura za hasiraaa, mawazo kedekede wametega sikio kama wanasikiliza engine muda wowote kitaumana.
Ila Mara kibao utapishana nazo nimepakiwa pembeni zinachemka meaning that hata system zake za kupooza engine ni mtihani. Lol
Pole ndugu yangu lkn bora ulivyotemana nayo.Hahahaha umenifurahisha, kuna mjomba wangu aliniazima na xtrail yake wakati nimemrudushia alieniuzia xtrail yake, uncle alikua anaisifia kwamba gari yake yeye ni mzima siku ameniazima nilichoka, nimkweli gari ilikua na uwezo wa kwenda mbele ila huo mlio wa engine sasa na hapo kwenye dashboard ni kama umewasha mtu xmass....wanaosifia hizi gari ni madalali ndio watakaokuletea habari za kuzingatia service....mimi ni mtu wa kutunza sana gari yangu ila xtrail ilinishinda
Kwa maoni au uzoefu wako ni aina gani ya gari ambayo ni nzuri?Pole ndugu yangu lkn bora ulivyotemana nayo.
Umenikumbusha nilitajaga Harrier pia ila jamaa Wana hasira hao π€£Walinipopoa nikabaki hoves kabisa.
Niliwaambia haziuziki wakafugie kware aisee. ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Ndugu, kwa vile Tz ( most African Countries kwa ujumla) tunaagiza used cars ni vigumu kusema for sure π― % gari flani ni perfect. Kwanza ni Vyombo vilivyoundwa na binaadamu ambaye yeye mwenyewe sio perfect na ndo maana huwezi kuta review ambayo ni 100% perfect ya gari yeyote. Hii hupelekea Magari mengine kuwa recalled kiwandani kutokana na udhaifu/ hitilafu.Kwa maoni au uzoefu wako ni aina gani ya gari ambayo ni nzuri?
Asante kwa maoni haya chanya.Ndugu, kwa vile Tz ( most African Countries kwa ujumla) tunaagiza used cars ni vigumu kusema for sure π― % gari flani ni perfect. Kwanza ni Vyombo vilivyoundwa na binaadamu ambaye yeye mwenyewe sio perfect na ndo maana huwezi kuta review ambayo ni 100% perfect ya gari yeyote. Hii hupelekea Magari mengine kuwa recalled kiwandani kutokana na udhaifu/ hitilafu.
Ila sasa kuna Magari kibongo bongo ni ya kutazama with extra caution. Toyota Tu Swift tule tuduchu kama IST, Harrier, Extrail mengine wadau wataongeza.
But binafsi Suzuki, Mjerumani.... Mara nyingi wapo ok.