Ndio especially kwa Grand Vitara.Asante kwa maoni haya chanya.
Kama nimekuelewa vizuri,unamaanisha kwamba gari aina ya IST,Harrier na Xtrail ikibidi ni aina ya gari za kuepuka "otherwise buy at your own risk?"
Mjerumani hakika ni habari nyingine,hawa ni "bendera chuma,mlingoti chuma".
Suzuki nao wako poa?
Kweli gari matunzo.Ila kuna gari nyingine utajitahidi matunzo lakini bado itakuganda tu na kukuweka kwa "stress-zone".Ndio especially kwa Grand Vitara.
Ila kumbuka Golden Rule. Gari ni matunzo. Hata upate gari bomba usipoipa matunzo inayostahili utafeli tu kukuridhisha.
Angalia na mfuko. Ila Nissan mazuri pia.Kweli gari matunzo.Ila kuna gari nyingine utajitahidi matunzo lakini bado itakuganda tu na kukuweka kwa "stress-zone".
Kama ulivyoshauri,uchaguzi wa aina ya gari (brand?) pia muhimu kuzingatia halafu ndipo uiongezee na matunzo(?).
Panapo majaaliwa, nitathubutu kwa Grand Vitara nione kama itaniweka kwa " stress-free-zone...".
Mkuu,mimi mwenyewe soon naitaji gari used, na ofa yangu 3m,kama vipi ntakucheki mda ukifika kama una uzoefu.Mshazoea kupigwa nje hiz gar ni milion 3 au 4 used hii sio mpya
Ushauri wa maana huu.Angalia na mfuko. Ila Nissan mazuri pia.
Mimi Karuceee kama siwezi afford mfano Dualis ama Juke Bora nichukue ka Vitz ama Ka IST hata kakinigaragaza nitakamanage .
how tupe maelezo. maana gari zuri kama hii herrier kuuzwa 16M inashangaza kidogo.