Tunafanya ukarabati wa sofa kwa bei nafuu

Tunafanya ukarabati wa sofa kwa bei nafuu

karibuni sana wakuu,huduma zinaendelea
 
Karibuni sana,ujipatie furniture mpya na kama utahitaji ukarati utapata huduma

0714988215 /0692449416
20211203_161645.jpg
20211203_161507.jpg
20211203_161415.jpg
 
Asanteni sana kampuni ya YALA MILA kwa kutuamini na kutupa kazi ,na kazi imekamilika vyema.

tunawakaribisha na wengine wote tufanye kazi bora kwa pamoja,karibuni sana

0714988215 /0692449416
20211204_222252.jpg
20211204_222234.jpg
20211204_222221.jpg
20211204_222207.jpg
20211204_222152.jpg
20211204_222139.jpg
20211204_222120.jpg
 
karibuni sana,wakuu kwa furnitures bora

0714988215 / 0692449416
IMG-20211204-WA0003.jpg
 
Nina sofa nataka kurekebisha. Nikikutumia picha unaweza kunipa bei ya marekebisho??.
 
Mimi nataka uje tabata unibadilishie masofa yangu size 1 yapo ma 2 na moja la wa2 wawili jumla yatakua ma 3 ghalama inakua sh ngap
 
Mimi nataka uje tabata unibadilishie masofa yangu size 1 yapo ma 2 na moja la wa2 wawili jumla yatakua ma 3 ghalama inakua sh ngap
inategemea na disign unayoitaka

karibu sana 0714988215 / 0692449416
 
Back
Top Bottom