Serikali ingeliangalia suala hili kwa jicho la tatu. Wangeshusha kodi, watu wengi zaidi wangeweza kuagiza magari yenye ubora na serikali ingepata mapato zaidi.Tazama hapa tu ni mfano wa gari bei yake (CIF) halisi kutoka japan na ile unayopewa na TRA kwenye System yao...
Serilali ingeliangalia suala hili kwa jicho la tatu.
Wangeshusha kodi, watu wengi zaidi wangeweza kuagiza magari yenye ubora na serikali ingepata mapato zaidi..
Hii kodi ya kukomoana watu wengi wananununa magari yaliyotumika hapa hapa TZ ambayo kwa asilimia kunwa ni mabovu sana na ni hatarishi kwa usalama barabarani...
Wanakwambia wanazuia uchakavu lakini gari chakavu ndizo zipo soko la ndani....Serilali ingeliangalia suala hili kwa jicho la tatu...
Wangeshusha kodi, watu wengi zaidi wangeweza kuagiza magari yenye ubora na serikali ingepata mapato zaidi..
Hii kodi ya kukomoana watu wengi wananununa magari yaliyotumika hapa hapa TZ ambayo kwa asilimia kunwa ni mabovu sana na ni hatarishi kwa usalama barabarani...
Hapo nimebadili mwaka kutoka 2007 na kuweka 2009. Mbona kama ndio kodi inazidi kuwa nene sasa mkuu unaweza tupea ufafanuzi?!Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.
Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.
Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
Unaongea ki-theory zaidi,hebu ingia kwny vitendo ndipo utajua TRA/serikali ni wasanii.Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.
Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.
Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
umeandika kitu usichokifahamu kodi ya miaka kumi iko pale pale na mnunuaji ameridhia anacholalamika ni kwanini yeye gari aifikishe nchini kwa dola 3000 halafu tra ikokotoe kodi kwa base ya dola 3800?Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.
Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.
Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
Chief unajua unaposema miaka kumi kutoka sasa kumbuka huu ni mwaka 2020 ina maana hapo tunazungumzia gari zilizotengenezwa kuanzia 2010 si ndio?!Unaongea ki-theory zaidi,hebu ingia kwny vitendo ndipo utajua TRA/serikali ni wasanii.
Ingia hapo be forward sasa hivI angalia CIF ya Magari yenye umri wa chini ya miaka 10 then ingia Kwny Calculator ya TRA cheki kodi yake then utaleta majibu ya hio hoja yako.
Asante mkuu nashukuru kwa kunisaidia kumuelewesha huyu mwananchi mwenzangu ambae nimeambatanisha hadi ushahidi hapo ila bado haoni shida ilipo.Hi
umeandika kitu usichokifahamu kodi ya miaka kumi iko pale pale na mnunuaji ameridhia anacholalamika ni kwanini yeye gari aifikishe nchini kwa dola 3000 halafu tra ikokotoe kodi kwa base ya dola 3800?
Mkuu ni kwamba serikali kwny suala la kuagiza magari haijawahi kuwafikiria watu wenye uchumi mdogo ambao ndio wako wengi.Chief unajua unaposema miaka kumi kutoka sasa kumbuka huu ni mwaka 2020 ina maana hapo tunazungumzia gari zilizotengenezwa kuanzia 2010 si ndio?!
Sasa naomba unambie gari zetu sisi malofa model tunazozitaka kulingana na hali ya maisha ( Ist, raum, Starlet, Vits, etc) ambazo zipo barabarani kwa wakati huu ambazo zimetengenezwa miaka ya karibuni kama kweli zipo.
Mimi nikisearch beforward naona tu gari ndogo nyangi zinacheza chini ya mwaka 2010.
Hebu tupe ushuda wako mkuu
Mkuu mchawi aliyeturoga watz alitumia dawa Kali wabongo tuna kasumba ya kuchukulia kila kitu poa hata Kama kinaumiza maisha yetu!Asante mkuu nashukuru kwa kunisaidia kumuelewesha huyu mwananchi mwenzangu ambae nimeambatanisha hadi ushahidi hapo ila bado haoni shida ilipo.......
Hayo magari yenyewe yanashikika sasa.... Gari ya kuanzia mwaka 2010 nyingi ndigo zinacheza milioni 10+ hapo bila kodi na vikolokolo vya kuileta..... Ukija za zaidi ya hapo pesa inaongezeka......Unaongea ki-theory zaidi,hebu ingia kwny vitendo ndipo utajua TRA/serikali ni wasanii.
Ingia hapo be forward sasa hivI angalia CIF ya Magari yenye umri wa chini ya miaka 10 then ingia Kwny Calculator ya TRA cheki kodi yake then utaleta majibu ya hio hoja yako.
Huo ndio ukweli wenyewe. Tutoke kwenye zile fikra kuwa gari ni anasa na kujua ukweli kuwa gari ni essential need.Mkuu ni kwamba serikali kwny suala la kuagiza magari haijawahi kuwafikiria watu wenye uchumi mdogo ambao ndio wako wengi.
Unaongea ki-theory zaidi,hebu ingia kwny vitendo ndipo utajua TRA/serikali ni wasanii.
Ingia hapo be forward sasa hivI angalia CIF ya Magari yenye umri wa chini ya miaka 10 then ingia Kwny Calculator ya TRA cheki kodi yake then utaleta majibu ya hio hoja yako.
True mkuu, wengi hawajui kukurukakara za kuimport gari direct kutoka nje.... Wangeona maumivu....
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha true mkuu dah... Halafu kwa staili hii tunajiuliza why rushwa haiishi?!kiufupi haitakiwi kutembelea gari
punda,baiskeli na kutembea kwa miguu hakuchafui mazingira
na ikibidi uwe na gari kubali hizo garama....tra nao wanakijicho ati!!
Tumia basi akili hata mara mojaKodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.
Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.
Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.