Tunafanyaje kuhusu suala la Ushuru TRA?

Tunafanyaje kuhusu suala la Ushuru TRA?

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,095
Reaction score
22,731
Tazama hapa tu ni mfano wa gari bei yake (CIF) halisi kutoka Japan na ile unayopewa na TRA kwenye System yao...... Gari unanunua milioni saba kodi milioni tisa.

Aiseer something has to be done. Hii ni roho mbaya ya wazi wazi.

Basi hiyo kodi tulipe kidogo kidogo isilipwe yote kwa wakati mmoja .

Screenshot_20200729_155844.jpeg
Screenshot_20200729_155956.jpeg
 
Tazama hapa tu ni mfano wa gari bei yake (CIF) halisi kutoka japan na ile unayopewa na TRA kwenye System yao...
Serikali ingeliangalia suala hili kwa jicho la tatu. Wangeshusha kodi, watu wengi zaidi wangeweza kuagiza magari yenye ubora na serikali ingepata mapato zaidi.

Hii kodi ya kukomoana watu wengi wananununa magari yaliyotumika hapa hapa Tanzania ambayo kwa asilimia kunwa ni mabovu sana na ni hatarishi kwa usalama barabarani.
 
Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.

Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.

Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
Serilali ingeliangalia suala hili kwa jicho la tatu.
Wangeshusha kodi, watu wengi zaidi wangeweza kuagiza magari yenye ubora na serikali ingepata mapato zaidi..

Hii kodi ya kukomoana watu wengi wananununa magari yaliyotumika hapa hapa TZ ambayo kwa asilimia kunwa ni mabovu sana na ni hatarishi kwa usalama barabarani...
 
Serilali ingeliangalia suala hili kwa jicho la tatu...
Wangeshusha kodi, watu wengi zaidi wangeweza kuagiza magari yenye ubora na serikali ingepata mapato zaidi..

Hii kodi ya kukomoana watu wengi wananununa magari yaliyotumika hapa hapa TZ ambayo kwa asilimia kunwa ni mabovu sana na ni hatarishi kwa usalama barabarani...
Wanakwambia wanazuia uchakavu lakini gari chakavu ndizo zipo soko la ndani....
 
Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.

Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.

Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
Hapo nimebadili mwaka kutoka 2007 na kuweka 2009. Mbona kama ndio kodi inazidi kuwa nene sasa mkuu unaweza tupea ufafanuzi?!
Screenshot_20200729_162914.jpeg
 
Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.

Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.

Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
Unaongea ki-theory zaidi,hebu ingia kwny vitendo ndipo utajua TRA/serikali ni wasanii.

Ingia hapo be forward sasa hivI angalia CIF ya Magari yenye umri wa chini ya miaka 10 then ingia Kwny Calculator ya TRA cheki kodi yake then utaleta majibu ya hio hoja yako.
 
Naomba ufafanuzi kwenye hiyo custom value yaani CIF ya hapo TRA huwa inakuwa na maana gani kuwa included kama sehemu ya cost
 
Hi
Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.

Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.

Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
umeandika kitu usichokifahamu kodi ya miaka kumi iko pale pale na mnunuaji ameridhia anacholalamika ni kwanini yeye gari aifikishe nchini kwa dola 3000 halafu tra ikokotoe kodi kwa base ya dola 3800?
 
Unaongea ki-theory zaidi,hebu ingia kwny vitendo ndipo utajua TRA/serikali ni wasanii.

Ingia hapo be forward sasa hivI angalia CIF ya Magari yenye umri wa chini ya miaka 10 then ingia Kwny Calculator ya TRA cheki kodi yake then utaleta majibu ya hio hoja yako.
Chief unajua unaposema miaka kumi kutoka sasa kumbuka huu ni mwaka 2020 ina maana hapo tunazungumzia gari zilizotengenezwa kuanzia 2010 si ndio?!

Sasa naomba unambie gari zetu sisi malofa model tunazozitaka kulingana na hali ya maisha ( Ist, raum, Starlet, Vits, etc) ambazo zipo barabarani kwa wakati huu ambazo zimetengenezwa miaka ya karibuni kama kweli zipo.

Mimi nikisearch beforward naona tu gari ndogo nyangi zinacheza chini ya mwaka 2010.

Hebu tupe ushuda wako mkuu
 
Asante mkuu nashukuru kwa kunisaidia kumuelewesha huyu mwananchi mwenzangu ambae nimeambatanisha hadi ushahidi hapo ila bado haoni shida ilipo.
 
Chief unajua unaposema miaka kumi kutoka sasa kumbuka huu ni mwaka 2020 ina maana hapo tunazungumzia gari zilizotengenezwa kuanzia 2010 si ndio?!

Sasa naomba unambie gari zetu sisi malofa model tunazozitaka kulingana na hali ya maisha ( Ist, raum, Starlet, Vits, etc) ambazo zipo barabarani kwa wakati huu ambazo zimetengenezwa miaka ya karibuni kama kweli zipo.

Mimi nikisearch beforward naona tu gari ndogo nyangi zinacheza chini ya mwaka 2010.

Hebu tupe ushuda wako mkuu
Mkuu ni kwamba serikali kwny suala la kuagiza magari haijawahi kuwafikiria watu wenye uchumi mdogo ambao ndio wako wengi.
 
Asante mkuu nashukuru kwa kunisaidia kumuelewesha huyu mwananchi mwenzangu ambae nimeambatanisha hadi ushahidi hapo ila bado haoni shida ilipo.......
Mkuu mchawi aliyeturoga watz alitumia dawa Kali wabongo tuna kasumba ya kuchukulia kila kitu poa hata Kama kinaumiza maisha yetu!
 
kiufupi haitakiwi kutembelea gari

punda,baiskeli na kutembea kwa miguu hakuchafui mazingira

na ikibidi uwe na gari kubali hizo garama....tra nao wanakijicho ati!!
 
Unaongea ki-theory zaidi,hebu ingia kwny vitendo ndipo utajua TRA/serikali ni wasanii.

Ingia hapo be forward sasa hivI angalia CIF ya Magari yenye umri wa chini ya miaka 10 then ingia Kwny Calculator ya TRA cheki kodi yake then utaleta majibu ya hio hoja yako.
Hayo magari yenyewe yanashikika sasa.... Gari ya kuanzia mwaka 2010 nyingi ndigo zinacheza milioni 10+ hapo bila kodi na vikolokolo vya kuileta..... Ukija za zaidi ya hapo pesa inaongezeka......

Sasa kiuhalisia ni kweli hapo tunadeal na uchakavu au tunashindwa tu kutumia akili.....

Gari inaweza kuwa ni ya miaka ya nyuma kuanzia miaka 2005 kushuka.... But ikawa ni imara na nzuri kwa matumizi na kwa mazingira.

Shida ni hawa watendaji wengi wao ukitrace history zao unagundua ni zile sampuli zimetoka bush zilikuja mjini kusoma utadhani zinasomea kijiji. Hazina exposure ya maisha mazuri hata kidogo. Sasa watu wa namna hii wengi ni sadistic hata awe na kazi nzuri vipi asili yake habadiliki. Anakuwa na akili ya uchoyo na ubinafsi hapendi kuona wengine wakiishi maisha ya furaha anataka watu wateseke ili yeye ajiskie vizuri.

Roho mbaya sana haya majitu ya TRA.
 
Mkuu ni kwamba serikali kwny suala la kuagiza magari haijawahi kuwafikiria watu wenye uchumi mdogo ambao ndio wako wengi.
Huo ndio ukweli wenyewe. Tutoke kwenye zile fikra kuwa gari ni anasa na kujua ukweli kuwa gari ni essential need.

Kwa mfano mtu ninakaa huko nje ya mji mbweni, au kibamba.... Unataka niagizie passo au IST kweli?!

Naishi vipi?! Hayo makorongo na mabonde na barabara mbovu tunapitaje na gari hizi ndogo ambazo sio off roader....?!
 
Unaongea ki-theory zaidi,hebu ingia kwny vitendo ndipo utajua TRA/serikali ni wasanii.

Ingia hapo be forward sasa hivI angalia CIF ya Magari yenye umri wa chini ya miaka 10 then ingia Kwny Calculator ya TRA cheki kodi yake then utaleta majibu ya hio hoja yako.

Huyu ajawahi agiza na gari, na kama kaagiza alilipiwa!
 
True mkuu, wengi hawajui kukurukakara za kuimport gari direct kutoka nje.... Wangeona maumivu....

Kati ya vitu serikali kwa kweli inapaswa kuangaliwa ni hiki! Na ikifanya utafiti itagundua Hakuna hasara yeyote!
 
kiufupi haitakiwi kutembelea gari

punda,baiskeli na kutembea kwa miguu hakuchafui mazingira

na ikibidi uwe na gari kubali hizo garama....tra nao wanakijicho ati!!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha true mkuu dah... Halafu kwa staili hii tunajiuliza why rushwa haiishi?!
 
Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.

Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.

Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
Tumia basi akili hata mara moja
 
Back
Top Bottom