DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
Jamani wanajamvi kama wewe unahitaji kufungiwa kifaa cha kieletroniki katika chombo chako cha moto ambacho kitakusaidia kuangalia mahali ambapo chombo chako kipo kwa muda wowote tunaweza kuwasiliana.
Lakini pia hata kama huna chombo cha moto ila unamfahamu mtu anayehitaji pia tunaweza kuwasiliana upate 15000 tsh. za maji.
Kwa wale wasiofahamu GPRS ni nini nitaelezea kwa kifupi.
Hiki ni kifaa kinachofungwa ndani ya chombo cha moto mfano gari, pikipki kumuwezesha mmiliki kujua chombo chake kiko maeneo gani kwa muda wowote.
Faida zake
Kifaa hiki kimesaida wengi walioibiwa pikpiki iweze kupatikana kiurahisi.
Pia kwa wale wamiliki wa pikipiki za biashara ''bodaboda'' kuweza kufahamu kama kijana wake anamdanganya kuwa hapati abiria,
Tunapatikana Mwenge kituo cha Lufungira.
pia Mbagala rangi tatu kwa mawasiliano zaidi piga au tuma ujumbe kwenye namba 0783672221.
Naomba kuwasilisha.