Tunafunga uzio wa umeme (Electric fence)

Tunafunga uzio wa umeme (Electric fence)

ELECTRIC FENCE INSTALLATION


Punguzo kubwa la bei unapata huduma hii kwa 19,000/= kwa mita moja wahi sasa.


Tupigie 0656190449 / 0745146690

IMG_20220103_080032_065.jpg


IMG_20220103_080304_118.jpg


IMG_20220103_080032_064.jpg


IMG_20210823_163336_8.jpg
 
Mkuu habari, hiyo ni sambamba na geti la kwenu au, na je kama tayari geti ninalo nikinunua hiyo motor bei inakuwa ni hiyohiyo?
 
Na vipi ikitokea umeme ukakatika?
mashine ina bettry lina uwezo wa kutunza umeme kwa zaidi ya masaa 24, lakini pia ikitokea bettry limeisha chaji kuna option ya kudisconnect mashine ili ufungue geti kawaida
 
Mkuu habari, hiyo ni sambamba na geti la kwenu au, na je kama tayari geti ninalo nikinunua hiyo motor bei inakuwa ni hiyohiyo?
salama boss karibu, iyo ni gharama ya mashine pamoja na ufundi, haijumuishi geti inabidi kwanza uwe na geti (sliding gate) ndio tunaweza kukufungia motor gate
 
[emoji837] MOTOR GATE

.Punguzo kubwa la bei sasa unaweza kupata huduma hii kwa 1,550,000/= Tu.

[emoji96]Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, hautohitaji mtu kukufungulia wala kukufungia gate. Utaweza ku control Gate lako kwa kutumia remote tu hata ukiwa umbali wa mita 100
.
. [emoji96]Gates za hivi zinadumu sana, na pia zinasaidia sana kwenye kuimarisha ulinzi wa nyumba/ofisi yako. Hautohitaji tena kusumbuka kwenda kumfungulia mgeni wako gate
.
.[emoji96]Hautohitaji kufuli ili ku-lock gate lako, utahitaji kuwa na remote yako tu ili ku-lock na ku un-lock gate lako
.
.@skmquality @skmquality_ tunakufanyia installation ya Gate motor kwenye Gate lako kwa gharama nafuu sana na huduma za uhakika
.
.[emoji96]Package yetu inakuwa na : Operator, Foundation plate, Controller/ 2A SM Charger, 7Ah Battery, 4m Steel Rack and 2×4 Button NOVA Txs

BEI: 1,550,000/= inajumlisha na gharama ya ufundi.

Mashine ni mpya kabisa

Ofisi yetu ipo Kinondoni Studio

Karibuni sana tupigie kwa namba zetu ili tukuhudumie 0745146690 / 0656190449

View attachment 2095904

View attachment 2095905

View attachment 2095907
Mkuu mm fundi wa hizo mambo,,nikitaka motor gate nikafanye installation mwenyewe utaniuziaje?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
ELECTRIC FENCE INSTALLATION , Ofa Maalumu kwa wateja watatu wanaotaka kufungiwa uzio wa umeme karibu inbox. #Valid kwa leo na kesho

Piga simu 0656190449 / 0745146690
 
Motor Gate Installation

tupigie 0656190449 / 0745146690
 
ELECTRICAL FENCE SPECIAL OFFER (19,000/= per meter)

fungiwa electrical fence kwa 19,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, bei iyo ni kwa eneo la kuanzia mita 70 kuendelea, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa.


Piga simu: 0745146690 /0656190449

Ofisi yetu ipo Kinondoni Studio
 
Chukua tahadhari kabla ya hatari, usisubiri mpaka vibaka au wezi wakuvamie ndio utambue umuhimu wa kufungiwa ELECTRIC FENCE, imarisha ulinzi wa mali zako kwa kufungiwa ELECTRIC FENCE itasaidia kuzuia uvamizi au wizi wa mali zako, tunatoa punguzo kubwa la bei karibuni.

Tupigie simu 0745146690 / 0656190449

@skmquality @skmquality_
 
Fungiwa CCTV CAMERA ili uweze kumonitor biashara, mradi , malezi ya watoto au mali zako nyumbani kupitia simu yako ya mkononi ukiwa popote pale duniani, tunatoa punguzo kubwa la bei karibuni.

Tupigie 0656190449 / 0745146690

@skmquality_ @skmquality
 
Back
Top Bottom