Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mashine ina bettry lina uwezo wa kutunza umeme kwa zaidi ya masaa 24, lakini pia ikitokea bettry limeisha chaji kuna option ya kudisconnect mashine ili ufungue geti kawaidaNa vipi ikitokea umeme ukakatika?
salama boss karibu, iyo ni gharama ya mashine pamoja na ufundi, haijumuishi geti inabidi kwanza uwe na geti (sliding gate) ndio tunaweza kukufungia motor gateMkuu habari, hiyo ni sambamba na geti la kwenu au, na je kama tayari geti ninalo nikinunua hiyo motor bei inakuwa ni hiyohiyo?
We fani yako kusimamia kucha tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu habari, hiyo ni sambamba na geti la kwenu au, na je kama tayari geti ninalo nikinunua hiyo motor bei inakuwa ni hiyohiyo?
Mkuu mm fundi wa hizo mambo,,nikitaka motor gate nikafanye installation mwenyewe utaniuziaje?[emoji837] MOTOR GATE
.Punguzo kubwa la bei sasa unaweza kupata huduma hii kwa 1,550,000/= Tu.
[emoji96]Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, hautohitaji mtu kukufungulia wala kukufungia gate. Utaweza ku control Gate lako kwa kutumia remote tu hata ukiwa umbali wa mita 100
.
. [emoji96]Gates za hivi zinadumu sana, na pia zinasaidia sana kwenye kuimarisha ulinzi wa nyumba/ofisi yako. Hautohitaji tena kusumbuka kwenda kumfungulia mgeni wako gate
.
.[emoji96]Hautohitaji kufuli ili ku-lock gate lako, utahitaji kuwa na remote yako tu ili ku-lock na ku un-lock gate lako
.
.@skmquality @skmquality_ tunakufanyia installation ya Gate motor kwenye Gate lako kwa gharama nafuu sana na huduma za uhakika
.
.[emoji96]Package yetu inakuwa na : Operator, Foundation plate, Controller/ 2A SM Charger, 7Ah Battery, 4m Steel Rack and 2×4 Button NOVA Txs
BEI: 1,550,000/= inajumlisha na gharama ya ufundi.
Mashine ni mpya kabisa
Ofisi yetu ipo Kinondoni Studio
Karibuni sana tupigie kwa namba zetu ili tukuhudumie 0745146690 / 0656190449
View attachment 2095904
View attachment 2095905
View attachment 2095907
tupigie utapewa utaratibu wa mafundiMkuu mm fundi wa hizo mambo,,nikitaka motor gate nikafanye installation mwenyewe utaniuziaje?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ukihitaji wewe au dadako nikusimamie kwa kucha poa tu.We fani yako kusimamia kucha tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app