Tunahakikishaje kuwa ni yeye kweli au amekuwa Cloned? Amerudi mtu mwingine?

Tunahakikishaje kuwa ni yeye kweli au amekuwa Cloned? Amerudi mtu mwingine?

Nchi ya kijinga sana hii. Yaani makamu anatuonyq wananchi kutumia mitandao vizuri kwasabb tu tumehoji kuwa alikuwa wapi?

Hv Mpango hajui kuwa ni haki yetu kufahamu viongozi wetu waliko??

Kama kweli kuna waandishi wa habari nchi hii sasa ni wakati wa wao kumuweka huyu makamu kiti moto na kumhoji.
 
Mnaongelea nn? Jiniaz leo naumwa upande wa kushoto ndan ya ubongo umetrackwa kwahy napata shida kuwaelewa
 
Yaani hebu fikiria hata pascal Pascal Mayalla naye aliingia chaka ktk hili.
Sio yeye tu wengi hata wabunge na baadhi ya mawaziri pia!!

Lakini hatjui kulikoni ikafanywa ni siri hivyo!!!?

1.labda anafundwa

2.alikuwa kweli anaumwa!!?

3.Sehem ya process Ile ya tetesi!!wakaona wamlete ili kupoza uvumi!!

Yote yanawezekana!!
 
Huu ulimwengu watu wanakuwa cloned. Unaweza kuta Makamu alishafariki huko alikokuwa. Wametumia huu mwezi mzima ku mclone na kum coach mtu mwingine kumrudisha TZ.

Hii Dunia hii.... Kwa sasa kila kitu si kama kinavyoonekana. Macho yamekuwa yakidanganywa sana.
Mkuu ili wazo umelitoa wapi dah..
Watu mna akili sana..
Sikuwaza hivu ila inabidi kumchunguza mienendo na tabia zake kama zitatofautiana bhasi ni clone
 
Siku nyingine unatakiwa kufikiri sana kabla ya kuandika maana huwezi kujua mtoto wako anaweza kusoma ulichoandika.

Kwanza, hakuna sababu ya kumclone Makamu wa Rais Kwa sababu sababu kubwa ya kufanya hivyo ni za kiusalama.

Pili, kufanya cloning sio kitendo Cha overnight tu. Hivyo kulingana na point ya kwanza hii ya pili inajitosheleza.

Tatu, mpaka sasa cloning ni nadharia ya kusadikika hivyo hamna namna inaweza kuwa imefanyika.
 
Back
Top Bottom