Tunahakikishaje kuwa ni yeye kweli au amekuwa Cloned? Amerudi mtu mwingine?

Acha bangi
 
Una hoja kwa hili,
 
Hayo mambo tuwaachie akina Putin huko na wenzao wa dunia ya kwanza!!

CCM wanachoweza ni kuiba kura lakini sio cloning.
 
Mimi nitakua wa mwisho kuamini huyu kiongozi ni mzima was afya kama alivodai!!

Siamini Sana hii spin ilivyofanywa !!

Kama ni mzima kulikua hakuna haja ya kusababisha taharuki ya kutoonekana!!

Labda kama ndio mambo ya course za power!!
 
Wamclone Mpango! kwa lipi alilonalo? Low minded bwana
 
Kuhojii? Kuhoji ndo kuidhinisha kifo?
 
Dada wa taifa alitoa taarifa genuine sana. Yule huwa anajitahidi kutoa taarifa zinazokaribiana na ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…