Tunahamia Dodoma

Tunahamia Dodoma

Fredinho

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2016
Posts
971
Reaction score
1,160
Tumetafakari sana,tumepekecha pekecha sana,tumebishana sana lakini hatimae familia yetu imeamua kufanya maamuzi magumu,tumeamua kuiunga mkono serikali yetu tukufu, tumeamua kuhamia Dodoma,wakazi wa Dodoma tafadhali mtutaarifu mahali gani pazuri pa kujenga na bei sahihi za viwanja.Tukutane Dodoma.
 
Aiseeer!!!!!
 
Njoo chamwino ikulu,nauza kiwanja mill 30 cash bila chenji!teh!
 
Maeneo mazuri yapo mengi ila bei ya viwanja inatofautiana kutoka eneo moja hadi lingine.
 
Back
Top Bottom