Fredinho
JF-Expert Member
- May 18, 2016
- 971
- 1,160
Tumetafakari sana,tumepekecha pekecha sana,tumebishana sana lakini hatimae familia yetu imeamua kufanya maamuzi magumu,tumeamua kuiunga mkono serikali yetu tukufu, tumeamua kuhamia Dodoma,wakazi wa Dodoma tafadhali mtutaarifu mahali gani pazuri pa kujenga na bei sahihi za viwanja.Tukutane Dodoma.