xivii09
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 267
- 153
- Thread starter
- #21
Wajerumani wa sasa hivi siyo yaani ni 'vimeo'...wameishakuwa brainwashed na Wamarekani...kaisi huwezi kuamini...nilikutana na Geopilitical Economist kutoka Ujerumani....anasema kwenye sylbus yao ya shule...wanafundishwa propaganda....ili wasije wakadanganywa na Hilter mwingine...alidiriki kusema kuwa Wajerumani wanawaabudu wamarekani kwa kuwa waliwaokoa kutoka kwa Hitler (US is saved Germany from Hitler)...!
Tukiondoa issue ya kuua wayaudi (ambayo inahitaji mjadala mpana)....Hitler alikuwa mratibu mzuri wa maendeleo ya Wajerumani.
siyo vimeo kama unavyo dhani ww ninyi mnakaa chini na kuangalia CNN na BBC mnameza kila kitu kama kilivyo kwa taarifa yako tu sasa ivi jeuri ya jeshi ni uwezo wa kuwa na high-tech tu., na kuwa na scientist wa wengi baada ya WW2 idadi kubwa ya scientist ya wajerumani walihamia USA na wengine kama mateka list ni kubwa unaweza uka google baadhi yao ni kama
na ndio walio leta technonolgy ya rocket pale NASA na wengi wao ndo walio gundua V2 rocket enzi za NAZI ujerumani kama ujui V2 ni nini pitia hapa sasa ivi kalibia wote wamekufa (umri) wamarekani hawana jipya tena fujo zimepungua zimebakia kelele tu jamaa wanarudi walipokuwa enzi zile za 1925 - 1943 angalia euro crissis sasa nani analia na nani anacheka Greece,Spain, an italy wote wanakimbia makwao wakapate kazi germany sa babu za kichumi wamefikaje hapo?
na keshaanza kuzitawala baadhi ya nchi za euro kiuchumi angalia angela merkel anvyowapangia sasa
