Tunahitaji kukopa 80m kwa taasisi au mtu binafsi, Collateral zipo

Kokola

Senior Member
Joined
Sep 5, 2015
Posts
135
Reaction score
78
Wana JF tunahitaji kukopa 80m kwa ajili ya biashara iliyojitokeza. Tumejaribu benki lakini wametukatalia maana mwaka huu mapato yetu hayajaenda vizuri. Mali za dhamana (collateral) zipo. Kama yupo mtu binafsi au taasisi mbadala walio tayari kutupa kiwango hicho cha pesa tuweke mambo kisheria twende mbele. Hakuna wasi hapo kwani mali za dhamana zilizopo si za kuhamishika. Mwenye wazo au muhusika ani pm

Natanguliza shukurani
 
Okay kama collateral zipo, ni nani anakopa ? mtu binafsi, taasisi ? anafanya biashara gani ? uzoefu ? cashflow yake inamudu ?
 
Soma vizuri uziwetu kama tungewa vizuri kwenye cashflow kwa mwaka huu usingetuona kutafuta mkopeshaji mbadala (sio benki). Jaribu kuelewa mada kabla hujaanza kuonyesha umahili wako.
 
Wana JF tunahitaji kukopa 80m kwa ajili ya biashara iliyojitokeza. Tumejaribu benki lakini wametukatalia maana mwaka huu mapato yetu hayajaenda vizuri. Mali za dhamana (collateral) zipo. Kama yupo mtu binafsi au taasisi mbadala walio tayari kutupa kiwango hicho cha pesa tuweke mambo kisheria twende mbele. Hakuna wasi hapo kwani mali za dhamana zilizopo si za kuhamishika. Mwenye wazo au muhusika ani pm

Natanguliza shukurani

kwa nini msiombe overdraft badala ya mkopo? maana ni rahisi kwa benki kumonitor movements za hiyo facility kuona kama biashara inaimprove au inakufa
 
Soma vizuri uziwetu kama tungewa vizuri kwenye cashflow kwa mwaka huu usingetuona kutafuta mkopeshaji mbadala (sio benki). Jaribu kuelewa mada kabla hujaanza kuonyesha umahili wako.

Mkuu kwa huu ukali kweli si mtu akishakukopa akija kudai pesa zake utamfukuza kwa bunduki ?

Sio wote wenye pesa au uwezo wa kukopesha wapo vizuri kwenye finance n.k. kwahio kama mtu amekosea au hajaelewa mueleweshe hata kama ni mara mia moja...

Beggars are not Choosers
 
Keysersoze umeniwahi tu kuwahi kuandika hayo...mkuu anataka mkopo ila mkali mpaka nimeogopa!akiendelea na ukali wake namtabiria mkopo hatapata.yeye ndie muhitaji anatakiwa ashuke hata kama mwenye pesa kwa namna moja au nyingine kaonyesha u much know.
 
Sio wote wenye pesa au uwezo wa kukopesha wapo vizuri kwenye finance n.k. kwahio kama mtu amekosea au hajaelewa mueleweshe hata kama ni mara mia

Aaaaaa babu....kwani unaomba pumzi ya kuishi...Mjomba kakosea na humu kuna watu makina sana na wale wanaopenda kuandika ili mradi tujaribu kuwa makini na waungwana. Changia mada kwa maendeleo sio ushabiki.
Bado naamini wapo waliopo makini watakao weza toa mawazo chanya hapo

Keysersoze umeniwahi tu kuwahi kuandika hayo...mkuu anataka mkopo ila mkali mpaka nimeogopa!akiendelea na ukali wake namtabiria mkopo hatapata.yeye ndie muhitaji anatakiwa ashuke hata kama mwenye pesa kwa namna moja au nyingine kaonyesha u much know.

Kunyenyekea kwenye madhabau ya dini, hii ni ishu ya biashara unatoa unapata nukta. Sasa kama huna cha kuchangia wacha kupotosha wenye nia makini. Wapo naamini walioelewa uzi unasemaje. Wajomba na mashangazi uzi ule ule
 
hivi sheria inasemaje mtu binafsi kutoa mikopo?
 
Banki hawakubali collateral? Ni collateral ya aina gani?
 
Kwani wewe Unazijua collateral zipi zaidi ya real property ambazo unaweza kuchukulia mkopo kwa tz mkuu?
Kwa hiyo benki imekataa real estate? Mikopo hii haramu mtaani watu wanakubali magari/machine etc.
 
Mkuu kwa huu ukali kweli si mtu akishakukopa akija kudai pesa zake utamfukuza kwa bunduki ?

Sio wote wenye pesa au uwezo wa kukopesha wapo vizuri kwenye finance n.k. kwahio kama mtu amekosea au hajaelewa mueleweshe hata kama ni mara mia moja...

Beggars are not Choosers

Thank you KeyserSoze.....
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mleta uzi acha ukali. Huwezi kupata hiyo mkopo unaotaka kwa hiyo lugha yako mbovu. Niposoma uzi wako hapo juu nilitaa nikuelekeze/mwenye ningekuunganisha lkn jinsi unavyowajibu watu jukwaani dah!! sivyo. Kila la kheri.
 
Kunyenyekea kwenye madhabau ya dini, hii ni ishu ya biashara unatoa unapata nukta. Sasa kama huna cha kuchangia wacha kupotosha wenye nia makini. Wapo naamini walioelewa uzi unasemaje. Wajomba na mashangazi uzi ule ule

Inaelekea hujui nini maana ya madhabahu...ngoja nikusaidie naona ulikaririshwa kwamba madhabahu pekee
ni ile sehemu ya mbele kabisa kwenye nyumba ya ibada,hiyo ni tafsiri ya mojawapo.ila moyo wako pia wewe kama mwanadamu ukitaka kuufanya madhabahu unaweza... nini unaingiza na kutoa kupitia kusikia na kuongea inaweza kuathiri madhabahu yako(elimu hii ni pana ngoja nikuache kwanza) na nikukumbushe tu unyenyekevu hauanzii kwenye majengo ya ibada unaanzia MOYONI mwako.nahisi hili tatizo limesababisha ukose mkopo huko bank,cash flow isiyoeleweka ni kisingizio tu.jifunze kunyenyekea mkuu
 
Cash flow imeyumbishwa na kauri zako jirekebishe
 
Kama bank wamekataa kuwakopesha, huyo mtu binafsi atapata wapi guts za kuwakopesha kiasi chote cha pesa na mbaya zaidi biashara yenu haikufanya vizuri?
Milioni 80 ukopeshwe na mtu binafsi?
Kumbuka huyu mtu lazima akupe riba ambayo utajikuta unaiyumbisha biashara zako.
Bora muende bank muongee nao vizuri hata wakiwapa kwa installment huku wakiendelea kuminitor shughuli zenu.
Au uzeni hisa za 80M kwa watu binafsi waje kuwafundisha jinsi ya kusimamia biashara yenu.
 
Inaelekea hujui nini maana ya madhabahu...ngoja nikusaidie naona ulikaririshwa kwamba madhabahu pekee
ni ile sehemu ya mbele kabisa kwenye nyumba ya ibada,hiyo ni tafsiri ya mojawapo.ila moyo wako pia wewe kama mwanadamu ukitaka kuufanya madhabahu unaweza... nini unaingiza na kutoa kupitia kusikia na kuongea inaweza kuathiri madhabahu yako(elimu hii ni pana ngoja nikuache kwanza) na nikukumbushe tu unyenyekevu hauanzii kwenye majengo ya ibada unaanzia MOYONI mwako.nahisi hili tatizo limesababisha ukose mkopo huko bank,cash flow isiyoeleweka ni kisingizio tu.jifunze kunyenyekea mkuu

Maene basi babu yamekwisha NIMEKOMA kukuchokoza mkuu. Haya nanyenyekea, nipe habari pesa tunapataje kiongozi wangu...??
 
Back
Top Bottom