Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Dira ya CCM inasema wanataka wazalishe umeme kiasi gani kufikia mwaka 2050 ??Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.
Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili kulisha uchumi wa dola trilioni moja. Imesema kuwa range ni 35,000-130,000 MW installed kutegemea na aina ya uchumi. Kama ni huduma, kutengeneza bidhaa za watu kama simu au viwanda vizito vya chuma na kemikali.
Tanzania na Nigeria wamelenga viwanda vizito. Ukiweka na factors zingine za umeme, zinahitaji MW 100,000 kila moja ili kufikia uchumi wa 1 trilioni dola.
Kwa sasa Tz inazalisha MW 4,400. Ni safari kufikia MW 100,000. Hata hizo za chini 35,000 bado safari ndefu sana.
Kwa Afrika ni nchi mbili tu, South Afrika na Egypt ndizo zina umeme unaopita 35,000 MW.
Tutafika hii safari yetu ya uchumi wa trilioni 1 usd au ndiyo tumeishakwama?
Sijajua hili.Dira ya CCM inasema wanataka wazalishe umeme kiasi gani kufikia mwaka 2050 ??
Quick search inasema malengo ni kuzalisha MW 74,000 kufikia 2050. Kufikia 2030 tuwe na 8,000MWDira ya CCM inasema wanataka wazalishe umeme kiasi gani kufikia mwaka 2050 ??
Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.
Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili kulisha uchumi wa dola trilioni moja. Imesema kuwa range ni 35,000-130,000 MW installed kutegemea na aina ya uchumi. Kama ni huduma, kutengeneza bidhaa za watu kama simu au viwanda vizito vya chuma na kemikali.
Tanzania na Nigeria wamelenga viwanda vizito. Ukiweka na factors zingine za umeme, zinahitaji MW 100,000 kila moja ili kufikia uchumi wa 1 trilioni dola.
Kwa sasa Tz inazalisha MW 4,400. Ni safari kufikia MW 100,000. Hata hizo za chini 35,000 bado safari ndefu sana.
Kwa Afrika ni nchi mbili tu, South Afrika na Egypt ndizo zina umeme unaopita 35,000 MW.
Tutafika hii safari yetu ya uchumi wa trilioni 1 usd au ndiyo tumeishakwama?
hao SA na EGY kacheki tena hawana uo umemeTanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.