Tunahitaji mapunduzi ya kilimo

Licha ya kwenda jela upigwe ban kufanya kazi yeyote inauohusiana na pesa pia professinal body ikufute. Sasa vyeti vyako uwe unaviangalia sandukuni.
 
Licha ya kwenda jela upigwe ban kufanya kazi yeyote inauohusiana na pesa pia professinal body ikufute. Sasa vyeti vyako uwe unaviangalia sandukuni.

Kwa nchi kama yetu wapigaji ndio mashujaa, watu maarufu, wenye heshima, role models. Hapo utaonekana ni mtu katili sana.

Wanao tenda haki, waadilifu, wakweli, wanaonekana wajinga.

Mfumo wa mahakama, haki bado haujatulia, kutenda haki kwa mfano kuhusu pesa za serikali, mali za umma, pesa za wakulima hakuna anayejali sana kivile.

Mentality, vyombo thabiti, watu makini, wakweli, sheria zetu na wanaosimamia sheria kutenda haki, kwa nchi zetu bado ni changamoto.

Kama una connections, ni tajiri, kiongozi mkubwa serikalini unaweza kuiba pesa za serikali na kuwapa watu wachache muhimu kidogo. Utalindwa na mfumo.
 
Nchi za Magharibi kuiibia serikali ni aibu, ninasikia Mtemi Chenge akirudi na mentality hiyo. Baada ya kuona kila mtu anauhuru wa kuchota yeye akawa mtaalamu wao.
 
Nchi za Magharibi kuiibia serikali ni aibu, ninasikia Mtemi Chenge akirudi na mentality hiyo. Baada ya kuona kula mtu anauhuru wa kuchota yeye akawa mtaalamu wao.

Duh, aisee. Nimesikia pia CAG pia naye ana madudu mengi ameyafanya alipokuwa kwenye mfuko ya serikali.

Hekari inauziwa mfuko millioni 800. Mfuko unawekeza pesa nyingi lakini wanakuwa minority shareholders. Nyumba wanajiuzia wenyewe bila kufuata masharti. Sijui ukweli wa hii habari. Pesa za wafanyakazi, mifuko ya serikali inabidi ilitakiwa ilindwe.

Mkaguzi na mthibitii mkuu wa hesabu za serikali kumbe naye labda alikuwa mpigaji mkuu. Unaweza kuona tuna kazi sana.

Kuiba kwenyewe nchi zilizosimama ni vigumu inabidi ujipange kwelikweli, halafu ikibainika hata kama ulikuwa Waziri mkuu, Rais msaafu, mtu muhimu sheria inafuata mkondo wake. Hata kama ni miaka mingi baadaye. Kwahiyo inawafanya watu wawe waaminifu hata waliopinda.

Mifumo yao imetulia.
 
Na mshahara wanakupa unaolingana na hali ya maisha.
 
Matumbo million 55, hamna haja ya kutafuta soko, soko liko wazi; shida ipo katika sera za nchi sio kwa wataalam wa agrieconomics.
Ndugu soko bado ni tatizo. Nafaka kama mahindi na mpunga mara moja moja zinazalishwa kwa wingi sana kiasi kwamba watu hawa milioni 55 wanatosheka na ziada inabaki. Nafikiri unafahamu kelele za wakulima wa mazao hayo. Umuhimu wa kutafuta soko nje ya mipaka yetu bado ni wa lazima. Hatuwezi kufanya mapinduzi ya kilimo kwa kutegemea soko la ndani tu.
 
Bado hatujafikia uwezo wa kuwa na quality products zenye packaging ya kuvutia. Umeshona Thai Fragsrance rice inavyofungwa kwenye Ghana must go lakini haina jiwe wala chuya.

Mchele wa Kyela na Kihurio ni mtamu lakini una mawe na chuya.
 
Bado hatujafikia uwezo wa kuwa na quality products zenye packaging ya kuvutia. Umeshona Thai Fragsrance rice inavyofungwa kwenye Ghana must go lakini haina jiwe wala chuya.

Mchele wa Kyela na Kihurio ni mtamu lakini una mawe na chuya.
Ni kweli unachosema lakini kuendelea kuongeza uzalishaji bila kutafuta soko la nje ni kuongeza tatizo badala ya kulitatua. Watu wataweka mitaji yao shambani na isiweze kurudi. Ingawa masoko ya nje ya bara la Africa yanataka vifungashio vizuri na bidhaaa safi na bora, bado kuna masoko ndani ya bara letu hayahitaji ufungaji mzuri sana ili kuweza kuyahudumia.
 
Zile powertiler za kikwete zilibadili nini?
 
Financing agriculture is very risky

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its not a matter of planning, agricultural activities are seasonal and depend on climate

Sent using Jamii Forums mobile app
That’s is why we need professional help from agriculture higher education students to stay with farmers for three months in each year of their training. Giving support and advice on the right crops for the season and climate.
 
Mpaka leo Mod hawajaona haja yakuweka sawa kichwa cha habari?
 
Verse, Siasa ni kilimo x2

chorus:- Powertiller mkombozi steven wasiraa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…