Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Licha ya kwenda jela upigwe ban kufanya kazi yeyote inauohusiana na pesa pia professinal body ikufute. Sasa vyeti vyako uwe unaviangalia sandukuni.Bado hatujui tunataka nini, Hatujaamua kwa dhati na kumaanisha, Bado tunasuasua.
Kufikia haya malengo wakati mwingine inabidi kutumia nguvu kidogo. Watu ni wagumu sana kuelewa, inabidi wajue mfano ukiiba pesa za serikali, za wakulima unaenda jela kwa miaka 30, maisha.
Usipofanya kazi yako, unafukuzwa kazi. Ni mambo magumu. Maamuzi magumu. Sidhani kama tupo tayari kuyachukua.